Dada kanipa utaratibu kaninyima mwongozo je, ni halali kuoa mdogo wake?

Duh katika wazembe nadhani ww ni mmoja wao, yani mpaka mnaoga mnakula mnalala tena kitanda kimoja unashindwa kumtendea haki duh hiyo nafasi ingenikuta mm wallah moto ungewaka.
 
nyege zinakusumbua hakuna lingine hivi inawezekanaje umpende mtu halafu huyo huyo unaempenda kwa dhati ya moyo wako anakuambia mpende mtu mwingine hii inaingiaje akili?? tena anakudirect kabisa!! fata kile moyo na hisia zako inataka hiko kichwa cha chini hakina akili tumia cha juu
 
We una umri gani? Vitu vingine haviitaji ushauri. Nna uhakika tayari una maamuzi kuhusiana na swala hili.
Siku izi Kuona kumekua kama kununua kandambili?
 
Back
Top Bottom