lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,732
Happy new December month, (kwa heshima ya aliyeanzisha uzi ule) niende kwenye mada moja kwa moja,
Kwanza naanza kwa kutoa wito kwa wanaume wenzangu, kuwa usikubalia kudate au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke asiyeweza kuwa na mawazo hata ya kujiingizia sh 500 yake japo ya vocha kwa siku au kwa wiki.
Unaweza kukuta mdada anasema mimi siwezi date na mwanaume anayefanya kazi fulani, wakati yeye hata uwezo wa kujiingizia sh.500 hana kwa siku. sasa mimi huwa najiuliza yaani wewe pale kukuomba namba tu,tayari ujumbe unaofata nitumie salio maana kifurushi kimeisha sasa inamaana wewe huwezi kujinunulia hata salio la 500,.hiyo inamaana kuwa huwezi kuwa na mawazo hata ya kunishauri nini nifanye ili kipato kiongezeke ili maisha yaende, kwa sababu tafsiri yake ni kwamba kama huwezi kuwa na mawazo hata ya kutengeneza sh.100 kwa siku hivyo utakuwa na mawazo ya kuomba na kutumia tu na sio kuzalisha, kwa hiyo wewe nakuchukulia kama mfirisi tu.
Unakuta mdada umeanza kuwasiliana kwenye mitandao siku mnapanga kuonana anaomba nauli halafu sehemu yenyewe nauli yake haizidi 2000, kwenda na kurudi... sasa wewe tunaonana ili iweje... ukweli mimi ukiniambia nikutumie nauli hapo hapo huwa nakublock....
Kwa mfano kwa hapa Mwanza labda mdada anakwambia yuko Igoma na unamwambia basi tukutane mjini kati ujumbe unaofata eti nitumie nauli, yaani sehemu ya kutumia sh. 1000 nayo pia nikutumie nauli wakati ukifika nitatumia zaidi za sh.30,000 to 50000, kulingana na eneo tutakalokutania... ukiniomba nauli au vocha haraka sana unakula block, UKUBALI NDIO HIVYO HIVYO, UKATAE NDIO HIVYO HIVYO