Dada huyu amenichosha, nataka nimwambie mmewe.

Ufunguo

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
330
231
Nilikuwa na mpezi hapo nyuma ila baadae yeye alikosa uvumilivu na kuamua kuolewa na mtu mwingine. Sasa ni mwaka mmoja tanu aolewe na mimi niko katika mchakato wa ndoa japo mchumba wangu nae alikuwa na tatizo kidogo lakini naamini we will get along ASAP. Sasa huyu mpeenzi wangu wa zamani amekuwa kero kwangu, mpaka sasa ninataka nimweleze mme wake maana nimeshawaambia rafiki zake na huyu dada wamwonye kuhusiana na tabia hii lakini hataki kusikia. Kila mara ananiandikia text msg kudai eti tangu ameolewa na mme wake hapati raha ya ndoa kama tulivyokuwa pamoja na anataka angalau niwe nampa penzi hata mara moja kwa mwezi. Nimeshamwonya na kumwambia siwezi kufanya tendo hilo na kwasasa namheshimu kama mke wa mtu na pia nami najiandaa kuwa na familia na nataka kulinda heshima ya ndoa yangu. Siku moja nilimwambia kama ataendelea kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu za kunililia ntamwambia mmewe ila naona wala hajali kabisa. Sina mazoea na mme wake kabisa na wala sijawahi kukaa nae au kupiga nae stori. Sasa wana JF nimfikishie vipi ujumbe huu mme wake?.
 
Nadhani juhudi ulizofanya kumwelewesha zinatosha na ukiendelea kukaa kimya unaweza kugeuziwa kibao wewe ukabaki unalishangaa jiji na mataa yake.
 
Nilikuwa na mpezi hapo nyuma ila baadae yeye alikosa uvumilivu na kuamua kuolewa na mtu mwingine. Sasa ni mwaka mmoja tanu aolewe na mimi niko katika mchakato wa ndoa japo mchumba wangu nae alikuwa na tatizo kidogo lakini naamini we will get along ASAP. Sasa huyu mpeenzi wangu wa zamani amekuwa kero kwangu, mpaka sasa ninataka nimweleze mme wake maana nimeshawaambia rafiki zake na huyu dada wamwonye kuhusiana na tabia hii lakini hataki kusikia. Kila mara ananiandikia text msg kudai eti tangu ameolewa na mme wake hapati raha ya ndoa kama tulivyokuwa pamoja na anataka angalau niwe nampa penzi hata mara moja kwa mwezi. Nimeshamwonya na kumwambia siwezi kufanya tendo hilo na kwasasa namheshimu kama mke wa mtu na pia nami najiandaa kuwa na familia na nataka kulinda heshima ya ndoa yangu. Siku moja nilimwambia kama ataendelea kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu za kunililia ntamwambia mmewe ila naona wala hajali kabisa. Sina mazoea na mme wake kabisa na wala sijawahi kukaa nae au kupiga nae stori. Sasa wana JF nimfikishie vipi ujumbe huu mme wake?.

ukiendelea na msimamo huu hata baada ya miaka kadhaa ya ndoa yako utakuwa mume mzuri sana, wasiwasi unakuja pale baada ya miaka kadhaa ya ndoa wewe ndo ukawa unamtafuta huyu dada. Sikufundishi tabia mbaya ila endelea na msimamo huohuo kuwa moto usije poa kuwa vuguvugu au baridi kabisa. Ignoring is another good way of dealing na wasumbufu atachoka na ataacha mwenyewe mradi tu b4 hujamuo wife wako mueleze some of ur ex akiwemo huyo kwani anavoonekana kukusaka ukimuignore maruhani yake yakimpanda asije anza msumbua mkeo na kukuharibia ndoa. Mtaarifu mkeo mtarajiwa mapema what kind of a girl she is.
All the best buddy.
 
Mimi hivi vitu huwa sivielewi....

Mtu ambaye ulishamdelete anakusumbua vipi asee?

Labda useme na wewe bado unamtamani, ila otherwise ni rahisi sana kumpuuza na kumdharau tu.

We sms zake si usijibu, simu usipokee tu na ukiweza unam-block??

Kwa uanaume sio nzuri kwenda kusemelea kwa mumewe, utachemka!

Mpuuze endelea na maisha yako...
 
Aliekutuma UTUMIE HADI HADI HAZINA YA UFUNDI WA EXTRAAAA KATIKA MECHI ZA KIRAFIKI NANIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!! Ndo hivo tena mchovya asali hachovyi mara moja, keshanogewa huyooooooo. VITUZ VIZITO INATAKIWA UVIWEKE SPECIAL FOR YOUR WIFE AND YOUR WIFE ONLY!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mimi X wangu akija kumtambishia my Husband atakuwa kachemka sanaaa, coz yeye kapata RASHARASHA/TRELA tuu la picha, MOVIE KAMILI nimeiweka IN SPECIAL RESERVE kwa my Hubby and my Hubby ONLY!!!!!!! Special for our HONEY MOON!!!!

Dume zimaa unaenda HONEYMOON WAKATI SILAHA ZAKO ZOTE USHATUMIAGA, KARATA ZOTE ZIKO JUU YA MEZA!!!!!!!!! Huoni aibu?
 
Nakuunga mkono mkuu
 
Mmmmh wewee, nilikupiga chabo ulivyokuwa unarusha sarakasi kwa Mangi halafu unasema umehifadhi silaha!!
 
Weeeeeeeee!!!!! Wote wa kupita zao RASHA RASHA TUUUUU!!!!!!! Hawapati ELNINO maishaaaaaaa!!!!! Mambo mazuri NIMERESERVE FOR THE ONE!!!!!!!!!!! Till death do us apart lazima niwe na RSERVE iliyojitosheleza!!!!!!!!!
 
Mimi hivi vitu huwa sivielewi....

Mtu ambaye ulishamdelete anakusumbua vipi asee?

Labda useme na wewe bado unamtamani, ila otherwise ni rahisi sana kumpuuza na kumdharau tu.

We sms zake si usijibu, simu usipokee tu na ukiweza unam-block??

Kwa uanaume sio nzuri kwenda kusemelea kwa mumewe, utachemka!

Mpuuze endelea na maisha yako...

ushauri tosha huo
 
SMS na kupigiwa simu si vitu vinavyoweza kukunyima raha. Muhimu ni acha kabisa kupokea simu au kujibu SMS zake.
Ukicheka na nyani utavuna mabua...
 
Nilikuwa na mpezi hapo nyuma ila baadae yeye alikosa uvumilivu na kuamua kuolewa na mtu mwingine. Sasa ni mwaka mmoja tanu aolewe na mimi niko katika mchakato wa ndoa japo mchumba wangu nae alikuwa na tatizo kidogo lakini naamini we will get along ASAP. Sasa huyu mpeenzi wangu wa zamani amekuwa kero kwangu, mpaka sasa ninataka nimweleze mme wake maana nimeshawaambia rafiki zake na huyu dada wamwonye kuhusiana na tabia hii lakini hataki kusikia. Kila mara ananiandikia text msg kudai eti tangu ameolewa na mme wake hapati raha ya ndoa kama tulivyokuwa pamoja na anataka angalau niwe nampa penzi hata mara moja kwa mwezi. Nimeshamwonya na kumwambia siwezi kufanya tendo hilo na kwasasa namheshimu kama mke wa mtu na pia nami najiandaa kuwa na familia na nataka kulinda heshima ya ndoa yangu. Siku moja nilimwambia kama ataendelea kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu za kunililia ntamwambia mmewe ila naona wala hajali kabisa. Sina mazoea na mme wake kabisa na wala sijawahi kukaa nae au kupiga nae stori. Sasa wana JF nimfikishie vipi ujumbe huu mme wake?.

Huna haja ya kumwambie mumewe, cha msingi we endelea kumpotezea tu. Usijibu meseji na wala simu zake. Jitahidi na endelea na kumuonyesha wazi msimamo wako kuwa hupendi hiko anochokifanya. Hana uwezo wa kuja kukulazimisha kulala naye labda umpende mwenyewe! Hivyo wewe ndo unaweza kujitoa au kujiingiza kwenye shimo baya. Kumbuka tu msimamo wako ni mzuri, na ni hatari kucheza na mali za watu.
 
Nilikuwa na mpezi hapo nyuma ila baadae yeye alikosa uvumilivu na kuamua kuolewa na mtu mwingine. Sasa ni mwaka mmoja tanu aolewe na mimi niko katika mchakato wa ndoa japo mchumba wangu nae alikuwa na tatizo kidogo lakini naamini we will get along ASAP. Sasa huyu mpeenzi wangu wa zamani amekuwa kero kwangu, mpaka sasa ninataka nimweleze mme wake maana nimeshawaambia rafiki zake na huyu dada wamwonye kuhusiana na tabia hii lakini hataki kusikia. Kila mara ananiandikia text msg kudai eti tangu ameolewa na mme wake hapati raha ya ndoa kama tulivyokuwa pamoja na anataka angalau niwe nampa penzi hata mara moja kwa mwezi. Nimeshamwonya na kumwambia siwezi kufanya tendo hilo na kwasasa namheshimu kama mke wa mtu na pia nami najiandaa kuwa na familia na nataka kulinda heshima ya ndoa yangu. Siku moja nilimwambia kama ataendelea kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu za kunililia ntamwambia mmewe ila naona wala hajali kabisa. Sina mazoea na mme wake kabisa na wala sijawahi kukaa nae au kupiga nae stori. Sasa wana JF nimfikishie vipi ujumbe huu mme wake?.

Haina haja kumwambia mumuwe,kwani wakati mnaanza mahusiano mumewe alikuwepo? Ukiweza kaa kimya usireply msg zake kama kweli hutaki kuendeleza libeneke na huyo x wako,itafika mahali atachoka mwenyewe!!!!!!
 
Mumewe atakuamini?
akikugeuzia kibao wewe ndo unamsumbua?

unajuaje labda hiyo ndoa ni ndoa ya geresha?
mumewe hampi anachokitaka?

wewe huwezi kutojibu sms na kukataa kuookea simu?

Kweli the Boss, ampotezee tu maana kumwambia tena mumewe ni kuleta uchonganishi mkubwa kuliko anaoupata wa visms na kupigiwa simu.

Wanaume hebu tuwe wavumilivu na vitimbi vodogovidogo vya wanawake.
 
Mimi hivi vitu huwa sivielewi....

Mtu ambaye ulishamdelete anakusumbua vipi asee?

Labda useme na wewe bado unamtamani, ila otherwise ni rahisi sana kumpuuza na kumdharau tu.

We sms zake si usijibu, simu usipokee tu na ukiweza unam-block??

Kwa uanaume sio nzuri kwenda kusemelea kwa mumewe, utachemka!

Mpuuze endelea na maisha yako...

Kama kweli unataka kubaki katika mikono salama, basi zingatia ushauri huu. Bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaas!

Back
Top Bottom