Dada/Aunt/Mama wa miaka 40 - 45 anahitajika

affinitytz

JF-Expert Member
Feb 10, 2020
206
983
Wasalaam,

Naomba kufikisha ujumbe kama nilivyopatiwa.

Dada/Mama/ Aunt wa miaka 40 - 45 anahitajika kwa mahusiano na mtu mzima mwenzake iwapo wataridhiana.

Ni vyema akawa anaishi Dar es Salaam.

Vigezo
Dini - Mkristo
Tabia njema
Mchangamfu
 
Back
Top Bottom