Dada anayetangaza pamoja na Sami Missago kwenye enewz ya eatv ni shida

Yule ndo shida

Hivi yule wa The Base cha ITV anaitwa nani, naona naye Inye si haba
Nahisi n mchina sio O.g
0 to 100 real quick

aa23cfc27a6767ddab6538dc581842d9.jpg


c36275a13e08146c0c9a726611813708.jpg
 
Nakapenda,hakana mashauzi na mbwembwe alf kapo charming sio kambeya kambeya kana spirit flani hivi amazing
 
Dah watumiaji wa chura...tykijifanya tumekosea njia baada ya kustukiwa kwa ukali wa kukatisha kabisa penzi dah mambo hayo...huyo dada ni shida ni dunia nzima..ngoja nikamalize na @##MsB
 
Na akiwa anatangaza anasimama upande upande ili mzigo uonekane vizuri,Kuna yule Sasha wa siri za Familia nae dah mashallah
 
Watu wa mikoani mnamatatizo, huku Dar karibu kila demu utakayepishana naye ni mkali tena wa viwango vya juu kabisa kuliko huyo.
 
Mimi huwa namuona kawa tvshow hawezi na hana mvuto wa kipindi. Kumbe wengine wameshaona mauno na umbile! Duuh!
Kina dada wanaajiriwa Kwa mengi,ushawah jiuliza shadee wa clouds alipataje kaz ya utangazaj pale na sauti ile mbaya iliyokauka?
 
Back
Top Bottom