Dada aeleza Mahakama utamu wake kitandani ulivyomuua mpenzi wake

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000

🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu usifiche mautundu yako banaaa wape mautamu kama yote hahahahaha
Dodoma. Mshtakiwa katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ameieleza Mahakama Kuu Dodoma kuwa siku ya tukio walipeana penzi zito ambalo halijawahi kutokea tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi.

Mshtakiwa huyo alisema hayo katika utetezi wake kwenye kesi ya mauaji namba 160/2017 ambapo anadaiwa kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Mussa Seiph Agosti 11 mwaka 2016.

Akiongozwa na Wakili wa Utetezi, Shedrack Mbunda, mshtakiwa aliieleza mahakama kuwa walianza uhusiano kuanzia mwaka 2013 walipokutana kwenye mnada wa Msisi uliopo kijiji cha Msisi wilayani Bahi.

My Take
Ndio maana mimi huwa naficha baadhi ya utundu wangu kunako ili kuepuka madhara kama haya
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,369

This kind of news is below your dignity Mr. OKW BOBAN SUNZU
 
Smart Guy

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
5,028
2,000
Hiyo ya utamu mpk kufa naunga mkono hoja kabisa. Kuna siku nilimnyandua mtoto mmoja wa Migomigo alikuwa mtundu sana nakumbuka wakati naelekea kupizi alinibana bao likawa limeshatoka kendeni lakini aliwezi kutoka nje sijui alilizuiaje. Baadae aliliruhusu litoke baada ya mie kupiga makelele kama ng'ombe anayechinjwa. Bao lilipotoka ndio nikaona mapigo ya moyo yanaenda mara 3 zaidi ya kawaida huku jasho likinitoka mpk kwenye makalio achilia mbali unyayo.

Nahisi huyu marehemu alipitia changamoto kama ya kwangu ile yeye alikwenda na maji kabisa
 
Edson

JF-Expert Member
Mar 7, 2009
9,540
2,000
Kwa mwanaume kila akipiz ..ile process huchukua uhai kwa micro second kadhaa..kisha hurejea...sasa ikitokea hitilafu flan ndo huwa jumla..hahahahhaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom