Daah Mariam..!!

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
We Mariam umemfanya nini Chalii wa watu asee?!

@NgarenaroBoy
 
Attachments

  • Aah.JPG
    Aah.JPG
    21.7 KB · Views: 45
Ukisikia ujana maji ya moto ndio huu sasa. Mana waeza kuta hapo haoni hasikii kwa huyo Mariam.

Na ndio sababu hajali watu watamuangaliaje.
 
Ukisikia ujana maji ya moto ndio huu sasa. Mana waeza kuta hapo haoni hasikii kwa huyo Mariam.
Na ndio sababu hajali watu watamuangaliaje.
Nimekutana na Dingilii flani ivi ni Mtumishi wa Serikali,Yeye Kaandika'Shadeeya'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom