Handsome man
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 880
- 956
Tabia wanafanana mkuu, nenda shule zote watoto wamekaa kugegedana haswa za girlsSio tz
Walahi nabata ushungu
Kumbuka wako kipindi cha mihemko mkuu, hawafikiri lolote zaidi ya wanachokifanya wao ndo sahihiHawa si ndio mnashikia bango kwamba wakizaa waendelee na masomo!! hiyo shule itakuwa ya wazazi ya wanafunzi!!
Mabata ushungu saana!Walahi nabata ushungu
Toa neno lako la busara ili vijana waponeAseeeh
Ni wapi hapo nkaombe kazi hata ya ulinziPosho hizo jamani
kitendo wanachofanya sio kizuri, waache maramoja.. Starehe zipo tu watazikuta na wataziachaToa neno lako la busara ili vijana wapone