Daaah mjomba atafukuza sana kwa style hii aisee

Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
880
956
11a2ad5e8edfb537fb68a6a727dabc35.jpg
 
Hawa si ndio mnashikia bango kwamba wakizaa waendelee na masomo!! hiyo shule itakuwa ya wazazi ya wanafunzi!!
 
Hawa si ndio mnashikia bango kwamba wakizaa waendelee na masomo!! hiyo shule itakuwa ya wazazi ya wanafunzi!!
Kumbuka wako kipindi cha mihemko mkuu, hawafikiri lolote zaidi ya wanachokifanya wao ndo sahihi
 
Ni halali wote tufungwe miaka 30 jela kama wasababisha kesi ndo hivyo tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom