daaah! kumbe hii ndio sababu ya wadada wengi kupenda pochi kubwa kubwa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
372448_1876634132794941_jpg6060511a93e319e2d9f9bc6188467db6.jpeg 372448_1876634132794941_jpg6060511a93e319e2d9f9bc6188467db6.jpeg 372448_1876634132794941_jpg6060511a93e319e2d9f9bc6188467db6.jpeg 372448_1876634132794941_jpg6060511a93e319e2d9f9bc6188467db6.jpeg

nyie wababa mkikuta mtoto wako amebebwa hivo na mama watoto utafanyaje
 
Huyo mwanamama ana mkono kama kipande cha mti kwa jinsi ulivyokomaa...
 
sasa si atanunua nyingine

Hata sio mwanamke atakaenunua zingine, Ni wewe baba uliechoma utaenda kufanya shopping tena ulete nzuri zaidi. hujawahi ona wale wapenzi wanaopigana then mwanaume anavunja vyombo vyote kwenye kabati kisha kesho yake anaamkia shopping ya vyombo vingine. The same will be applied here.
 
Back
Top Bottom