Daaah hii inafunga mwaka kabisa wadau maana imeniuma zaidi wanafunzi hawa waweza lia mdau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daaah hii inafunga mwaka kabisa wadau maana imeniuma zaidi wanafunzi hawa waweza lia mdau

Discussion in 'Jamii Photos' started by Toneradio, Aug 1, 2011.

 1. T

  Toneradio Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Daaah..... Kwa masikitiko makubwa sana naomba niwakilishe hii Habari kwenu wadau .. Kweli kabisa watoto wafanya mtihani katika viwanja vya mpira wa miguu Huko Morogoro Imeniuma sana..... .. pia karibuni kwa mchango maana mimi nimeishiwa pumzi
  TWENDENI PAMOJA HAPO VIWANJANI WADAU TUJIONEE BOFYA HAPA
   
 2. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  more worse to come! yaani na bado! ktk linchi lisilo na uongozi lazima tutegemee hili. Pesa zoe wamekumbatia mafisadz na network zao! God bless Tanzania, God Bless Tanzanians! tunalia machozi ya damu sasa! na kama hautachukua hatua tutalia machozi a usaa! i am done! Watoto wetu wanapata malipo haya kweli??
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  halafu kumbe 1bn inaweza kupatikana kutoka wizara moja tuu!wanawaza kupitisha bajeti badala ya kuwaza maendeleo
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Uamuzi thabiti wa nchi hii tunayo wananchi kama hatujaridhika na hili tuchukue hatua 2015 ya kuwawajibisha kama wameshindwa kujiwajisha wenyewe
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hii shule naipata sana Bungo ipo mjini sijui za vijijini zipo katika hali gani duh!!!
   
 6. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  True legacy of Corruption!
   
 7. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145

  but wapo nateacher wao kwenye jua hawajatengwa na huwezi juwa lilikuwa ni zoezi gani....
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  tufanye utafiti twaweza sikitikia jambo ambalo academicaly lina faida kwa wahusika e.g wametawanyishwa kuondoa nafasi ya kupeana majawabu (kusaidiana) tutafiti tujiridhishe ni upungufu wa vyumba vya madarasa, madawati au uwiano wa wanafunzi na madawati inapokuja swala zima la majaribio na mbinu sahihi kuwezesha kupata matokeo sahihi kwa watahiniwa n.b natetea matumizi ya zana tulizonazo kupata matokeo yaliyo bora.
   
 9. d

  damn JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkoa wa morogoro ni mikoa mojawapo ambayo CCM INAJIVUNA KUWA NI NGOME YAKE
   
 10. m

  moshdar JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 1,731
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  what do you expect when shame hits its highest notoriouus point????!!!!!!
   
Loading...