Daaa naamini mapenzi ni sumu inayouwa ipendavyo.....

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
613
311
Habari waungwana...

Jamani mapenzi ni sumu katili sana inauwa ipendavyo kwa haraka au taratibu.

Hakuna maisha yanayokamilika kwa mtu hadi awe na upendo na upendo ule wa zamani hakuna kila unaemuona anatoka chozi basi sababu yake ni mapenzi

Wadau tuangalienyi nyimbo hizi hapa utakubaliana na mimi na utafarijika

Pia toa mawazo yako mi zimenifariji sana hizi nyimbo

http://m.youtube.com/#/watch?v=zNpeK7sDLzE&desktop_uri=/watch?v=zNpeK7sDLzE


http://m.youtube.com/#/watch?v=Y8HOfcYWZoo&desktop_uri=/watch?v=Y8HOfcYWZoo
 
Kweli mkuu mapenzi yana nguvu kiasi kwamba mtu yuko radhi kuacha kuwasikiliza wazazi sababu ya mpenzi. Mtu yuko tayari kuvunja miiko ya nyumbani kwao yote kisa kupenda. Na ni kweli mapenzi ni sumu inayoua taratibu/haraka bila kujijua . Wengi wamepoteza maisha kwa sababu ya mapenzi. Wengine wameua wenzao kisa wanagombea mpenzi. Kuna muimbaji mmoja aliwahi kuimba wimbo anauliza iko wapi jela ya mapenzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom