Daa wabongo hawacheleweshi cd na vitabu kuhusu maisha ya mandela vishaanza kuuzwa kariakoo

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Duu leo jamani nimepita kariakoo nimekuta wauza cd tayali wameshanza kuuza cd kuhusu maisha ya mandela tayali vimeshatokaaaa pia kuna wabongo tayali wameshandika vitabu kuhusu maisha ya mandela na wanauza kwa wauza magazeti
 
hao ndio wajasirimali wa ukweli, nategemea kesho watoe cd itayoonyesha mazishi ya leo yalivyokwenda.
 
Wasisahau na aliekuwa mwenyekiti wa chama mkoa wa Mwanza nae kauawa,watoe pia vitabu na Cd
 
Magazeti ya Shigongo nayo ni vitabu? Humo udaku mtupu, watajifanya wanamjua madiba kuliko wasauzi.
 
Back
Top Bottom