Da Sophy kawaje?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Naamini Mungu mwenye huruma, mwingi wa baraka na rehema, alimwazesha Da Sophy kajifungua salama...

Nakumbuka mara ya mwisho alikuwa hapa akisema kuwa mimba imepitiliza kidogo.

Kwa anayefahamu aliko amwambie tunammiss, tena tuma ham ya kumpa hongera zake. Ajitokeze...
 
Nadhani ACID anajua alipo huyu dada!
 
Mimba nyingine zinakaa miaka Mitatu.... Akijifungua atakuja hapa kutujuza...
 
Askofu unapoteza kumbukumbu za waumini wako....Da Sophy ana mtoto wa kiume, mwenye double chin kama babu yake!
 
Naamini Mungu mwenye huruma, mwingi wa baraka na rehema, alimwazesha Da Sophy kajifungua salama...

Nakumbuka mara ya mwisho alikuwa hapa akisema kuwa mimba imepitiliza kidogo.

Kwa anayefahamu aliko amwambie tunammiss, tena tuma ham ya kumpa hongera zake. Ajitokeze...

alishakuja kutujuza kuwa kajifungua mtoto wa kiume siku nyingi mbona....wewe tu ndio hukuona
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom