Da kweli walimu wanasafari ndefu

usiniguse

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,724
1,188
katika hali isiyo ya kawaida walimu wa science secondari mkoa wa lindi wanaohudhulia workshop cycle1 wamelazimika kuwa mbogo baada ya waandaaji wa workshop kuwaeleza kuwa watalipwa posho ya shiling 15000 kwa siku kwa hiyo watalipwa jumla ya shiling 75000 kwa siku 5.Semina hiyo inayoendeshwa katika shule ya sekondar lindi imeingia katika hali ya sintofahamu kwani walimu wamedhamilia kuchukua hiyo posho kisha kutokomea gizani.

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Ujumbe wako haujaeleweka ndugu,
i. Kwamba hiyo hela imechakachuliwa?
ii. Ni ndogo!?
iii. Imekuwa kinyume na matarajio yao!?? na walitarajia kiasi gani!!?!
iv. Ni nini kimekuwa tofauti ukilinganisha na walivyokuwa wameambiwa!?
 
kwamba hela ni ndogo au vipi mkuu ebu njoo na habari kamili kwani aijakamilika.
 
Ujumbe wako haujaeleweka ndugu,
i. Kwamba hiyo hela imechakachuliwa?
ii. Ni ndogo!?
iii. Imekuwa kinyume na matarajio yao!?? na walitarajia kiasi gani!!?!
iv. Ni nini kimekuwa tofauti ukilinganisha na walivyokuwa wameambiwa!?

THE ISSUE IS if the workshop is held at LINDI SEC which is at Lindi municipality,the Government rate is either 65000 or 85000 per day.No less no more! why 15000?
 
kwa hiyo waadhibiwe kwa kuchagua kazi hiyo??
na je wafikiri wewe ulichagua kazi sahihi sana na waalimu walikosea kuchagua??

Hapana! hawapaswi kuadhibiwa, mwalimu, wajua mimi mwenyewe ni mwalimu by professional nimekaa huko kwa 6 years lakini tatizo kubwa la walimu walio wengi hawajitambui, waoga katika kusimamia maslahi yao... mimi nilishindwa kuwa muoga nikaamua bora niepushe balaa mapema.

Ila najisifu kuwa mwalimu, na napenda kufundisha hasa....
 
THE ISSUE IS if the workshop is held at LINDI SEC which is at Lindi municipality,the Government rate is either 65000 or 85000 per day.No less no more! why 15000?

mara nyingi maafisa wa elimu ndio wanaofanya ujinga wa kuppiga hizo posho na kuwapo hicho kiduchu, wanajua udhaifu wa mwalimu nao wanatumia nafasi hiyo....
 
Hapana! hawapaswi kuadhibiwa, mwalimu, wajua mimi mwenyewe ni mwalimu by professional nimekaa huko kwa 6 years lakini tatizo kubwa la walimu walio wengi hawajitambui, waoga katika kusimamia maslahi yao... mimi nilishindwa kuwa muoga nikaamua bora niepushe balaa mapema.

Ila najisifu kuwa mwalimu, na napenda kufundisha hasa....
bora umeongea nikakuelewa.
boinafsi ni mwl na huu ni mwaka wangu wa 10+nikiwa nasaga chaki ubaoni. sijutii manake ualimu umenitoa na kunifanya niwe hapa nilipo leo
 
Binafsi nalikubali suala la maafisa elimu kuchangia kuwadidimiza walimu kwa baadhi ya wilaya
 
THE ISSUE IS if the
workshop is held at LINDI SEC which is at Lindi municipality,the
Government rate is either 65000 or 85000 per day.No less no more! why
15000?

65000x5=?
85000x5=?
will never happen in tz,especially 4 tichaz!
rudi chimbila A mwalimu kafundishe,75000 itakutosha sana hyo,hv pale nkowe,likunja,namahema,nk,utafanyia nini hyo 75000/=?
TANZANIA,TANZANIA,NAKUPENDA KWA MOYO WOOOOOTEEEE...!
 
Asante ishu ni kwamba kwa mujibu wa waraka wa elimu lindi ni mkoani kulingana na daraja la mwalim wapo waliostahili kulipwa 45000 daraja C ila wale wa D na E ambao ndo wengi wanastahili kulipwa 65000 per day kilichofanyika wameambiwa wakalale kunako mabweni ya wanafunzi ambakoa hali ya mazingira ya vyoo niyakusikitisha pia hata magodoro yenyewe ukiyaona utacheka manake yameisha ukiambiwa kuwa yametumika kwa kipindi cha miaka 45 iliyopita hutabisha.Ila taarifa niliyoipata sasa hivi karibu robo ya walimu waliotoka wilaya za mbali wameamua kuondoka kimya kimya kurejea makwao.
RAS amefika kwenye semina kutuliza hali ya hewa na kutoa mchango wa 500000 ili kupunguza makali ingawa inaonyesha hiyo pesa si kitu kulingana na idadi ya wanasemina.
Walimu wamekuwa hawaonekani ndani ya semina ila wanaonekana wakati wa chai na msosi.

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Posho tgtsc-45000
tgtsd-65000
hiyo ni kwa siku
sasa hapa lindi gest tshs. 10000
kwa pesa wanayolipa haitoshi kitu
mi sasa hivi narudi liwale na pesa yao yote 75000
 
Back
Top Bottom