usiniguse
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,724
- 1,188
katika hali isiyo ya kawaida walimu wa science secondari mkoa wa lindi wanaohudhulia workshop cycle1 wamelazimika kuwa mbogo baada ya waandaaji wa workshop kuwaeleza kuwa watalipwa posho ya shiling 15000 kwa siku kwa hiyo watalipwa jumla ya shiling 75000 kwa siku 5.Semina hiyo inayoendeshwa katika shule ya sekondar lindi imeingia katika hali ya sintofahamu kwani walimu wamedhamilia kuchukua hiyo posho kisha kutokomea gizani.
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums