D.Trump kama Magufuli wetu, ajaza Wanajeshi Serikalini!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
D.Trump amemteua Mwanajeshi wa tatu kuwa Kiongozi wa kiraia USA, huyu ni Generali John Kelly ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwenye Serikali ijayo itakayoanza kazi Januari 20 mwakani!

Kweli mawimbi ya Magufuli wetu yanasafiri na kusikika Dunia nzima, muda wa Usanii Duniani umekwisha na sasa ni Kazi Tu!
 
Sio wewe unajifanyaga unawaponda wazungu.leo unawasifia,by the way Trump ame cancel order ya ndege(Airforce 1,Boeing) wakati sisi tumeweka order ya ndege(Boeing) hapo vip?
 
Sio kweli. Waliojaa kwenye cabinet ya Trump ni wafanyabiashara na ma-CEO wa makampuni.
 
Back
Top Bottom