D D za form 4 clinical medicine kuomba MD zina hasari yeyote

Golden felician

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
216
36
Naomba kuuliza hivi mtu aliemaliza diploma ya clinical medicine kwa GPA ya 4 na anataka kuomba degree.je anaweza kubaliwa kujiunga ikiwa cheti chake cha form four kina D za masomo ya sayansi.
sababu nasikia mpaka uwe na C.
naomba kusaidiwa
 
Unapoanza diploma vigezo vya chini unatakiwa uwe na D4 kwenye masomo ya sayansi ila kuchukuwa iyo coz unayoitaka Baada ya kuwa umemaliza dip unatakiwa uwe na B± au GPA ya 3.5 na kuendelea kulingana na ushindani
 
Naomba kuuliza hivi mtu aliemaliza diploma ya clinical medicine kwa GPA ya 4 na anataka kuomba degree.je anaweza kubaliwa kujiunga ikiwa cheti chake cha form four kina D za masomo ya sayansi.
sababu nasikia mpaka uwe na C.
naomba kusaidiwa
Unapata ,kwa sababu naamini wakati unaanza diplo,sifa zilikuwa hazijachange!
 
Unapata as equivalent qualifications..
Naona hata wewe,pamoja na kujifanya Son humu Jf hujamwelewa muuliza swali!

Anachotaka muuliza swali,ni kwamba

Wakati anasoma clinical medicine,cheti chake cha form 4 alipata D D D ,

Ambapo kwa sasa zima uwe na CCD ,lakini diploma akapata GPA 4 ,je anaweza chaguliwa! Chuo kikuu?
 
sababu nasikia mpaka uwe na C.
naomba kusaidiwa
Wakati anasoma clinical medicine,cheti chake cha form 4 alipata D D D ,

Ambapo kwa sasa zima uwe na CCD ,lakini diploma akapata GPA 4 ,je anaweza chaguliwa! Chuo kikuu?
Kuingia Diploma ya Medicine hadi sasa wanataka D4 kama minimum. Kwenda kuchukua MD kinachotakiwa ni passes 5 na katika hizo uwe na C Chemistry, C Biology na D Physics pamoja na hayo Diploma yako iwe na GPA isiyopungua 3.5. (Source NACTE 2019/2020 Admission Guidebook Afya na TCU Equivalent/Diploma holders Admission Guidebook 2019/2020)
Hii inaifanya transition toka Diploma kwenda MD kuwa ngumu.
 
Duh wameniuaaaa....sasa me nina Phy C,Chem B, Bios D inakuaje hapo mkubwa wa kazi
 
Naomba kuuliza hivi mtu aliemaliza diploma ya clinical medicine kwa GPA ya 4 na anataka kuomba degree.je anaweza kubaliwa kujiunga ikiwa cheti chake cha form four kina D za masomo ya sayansi.
sababu nasikia mpaka uwe na C.
naomba kusaidiwa
Hapo kijana, Jaribu bahati yako tu.

Maana Sifa za Siku hizi ni kuwa na GPA kuanzia 3.5 na uwe pia "C" katika masomo ya CHEMISTRY na BIOLOGY,plus "D" in PHYSICS.
 
Some times bora kupita A LEVEL japo kuwa inahitaji msuli wa maana sana lakini kwa mtu anayerudia masomo na akasoma yuko nyumbani ana advantage kubwa ya kufaulu.

Mm ningekushauri upite A LEVEL uchukue PCB then unaenda zako MD...

Duuh kazi kwelikweli.nikaanze soma upya tena chemistry ili nende MD.sababu niko na C ya biology na physics.
 
Aha daah hatariii.

Yaani hata kama diploma umekidhi vigezo lazima form four wakuangalie though najua kwamba huwezi soma diploma pasi na hzo CCD ..
Hapo kijana, Jaribu bahati yako tu.

Maana Sifa za Siku hizi ni kuwa na GPA kuanzia 3.5 na uwe pia "C" katika masomo ya CHEMISTRY na BIOLOGY,plus "D" in PHYSICS.
 
Duuh kazi kwelikweli.nikaanze soma upya tena chemistry ili nende MD.sababu niko na C ya biology na physics.
Ingia kwenye tangazo la chuo husika soma basic requirements walizoweka, kama sifa unazo utaona huko. Pia soma tangazo la TCU, mambo yote yapo online unaweza kusoma ukapata jibu la swali lako
 
Nimeshasoma ndio nimeona hizo sifa.
Sasa hapa ndo najiuliza hizi department kwanini hazina connection wakati zinategemeana.sasa hawa watu wote wenye D wataishia diploma tu.au izo principal zilizopo TCU kwenye Guided book zitabadilishwa.ikifika wakati wa hawa wenye D D kugradruate au hamna.sababu NACTE wenyew ndo walibadilisha sifa za clinical medicine. Huwenda zitabadilishwa
Ingia kwenye tangazo la chuo husika soma basic requirements walizoweka, kama sifa unazo utaona huko. Pia soma tangazo la TCU, mambo yote yapo online unaweza kusoma ukapata jibu la swali lako
 
Masomo yapi.sababu mimi niko na C ya biology na C ya physic na D ya chemistry.na pindi naapply ilikuwa D flat kuingia chuo.sa malengo yangu mm ni mpaka degree.juzi nilikuwa nasoma guided book ya TCU wao wanataka C mbili ya bio na chemistry na D ya physic.sa apa ndo najiuliza kipindi NACTE wanabadilisha vigezo mwaka jana vya clinical medicine kulikuwa na mawasiliano na TCU au.
Au ukifika mda wa sisi tuliobadilishiwa vigezo, je na principal za kuchukua degree zitabadilika au haziwezi badilika
Hapo lazima uchukue masomo kuanzia matatu hivi ili kupata cheti ....
 
Masomo yapi.sababu mimi niko na C ya biology na C ya physic na D ya chemistry.na pindi naapply ilikuwa D flat kuingia chuo.sa malengo yangu mm ni mpaka degree.juzi nilikuwa nasoma guided book ya TCU wao wanataka C mbili ya bio na chemistry na D ya physic.sa apa ndo najiuliza kipindi NACTE wanabadilisha vigezo mwaka jana vya clinical medicine kulikuwa na mawasiliano na TCU au.
Au ukifika mda wa sisi tuliobadilishiwa vigezo, je na principal za kuchukua degree zitabadilika au haziwezi badilika
Mkuu kapige PCB advancee private uende zako chuo....
 
Back
Top Bottom