Cyril Chami: Unapoongeza mbao na mabati mapya mazito kwenye nyumba kuu kuu ukitarajia upya ni mawazo yasiyo na daraja

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Bombadier
Bombadier
Bombadier!

Kwa analysis za kiuchumi kwenye taasisi zilizokuwa zimedumaa kiutendaji na kiuchumi zilipaswa kujengwa upya kuanzia kwenye misingi yake ya kuanzishwa, miiko na mbinu za kisasa (Pengine Wataalam wasingetoa ushauri wa kununua Bombadier).
Unapoongeza mbao mpya na mabati mapya mazito kwenye nyumba kuu kuu ukitarajia upya ni mawazo yasiyo na daraja!

Chanzo: Ukurasa wake wa facebook
 
-------------------------------------------------------------
Mjinga huyo, inategemea na foundation na structure na uimara wa nyumba, mbona nyumba nyingi za wajerumani wanaezuwa Paa LA Vigae wanaweka Vigae vingine au bati nzito. Atcl kununua NDEGE faida yake inachukuwa muda, siyo biashara ya maembe au Mahindi kwamba unanunua Leo kesho unauza kwa faida. To break even point ya biashara ya NDEGE inachukuwa 5-10 years.
 
Mkuu unayosema ni kweli kabisa..

Suala la ununuzi wa Ndege/Bombardier ni maamuzi ya mtu mmoja mbishi asiyeshaurika..

Yeye fikra zake alifikiri akina JK na Mkapa hawakuwa wakiiona hiyo fursa ya biashara ya Airline..

Kumbe UENDESHAJI wa airline ndio tatizo la msingi kwa Tanzania..

Yeye alifikiri akishanunua midege tu hiyo basi ni FAIDA..

Unapoona shirika kubwa la Ndege kama ETIHAD linapata hasara kubwa, Shirika lenye first class management ya watu wa airline lazima ujiulize vipi kwa haya mashirika madogo..

Kwa ATCL, ndege zitakuwa zinatafuta parking hivi sasa.
 
.... Kwa ATCL, ndege zitakuwa zinatafuta parking hivi sasa.
Hasara juu ya hasara. Wenye akili zao ndege zinatakiwa ziwe angani muda mwingi kuepuka gharama za parking. Zitaishia kuozea parking huku taifa likilipia gharama pasi na uzalishaji wowote huku deni la mkopo liko pale pale pengine na interest ya kutisha juu!
 
-------------------------------------------------------------
Mjinga huyo, inategemea na foundation na structure na uimara wa nyumba, mbona nyumba nyingi za wajerumani wanaezuwa Paa LA Vigae wanaweka Vigae vingine au bati nzito. Atcl kununua NDEGE faida yake inachukuwa muda, siyo biashara ya maembe au Mahindi kwamba unanunua Leo kesho unauza kwa faida. To break even point ya biashara ya NDEGE inachukuwa 5-10 years.
Faida tukayopata itazidi hayo mabilioni tuliyopata hasara kweli? Mbona hicho kipindi unachosema tayari tumevuka nusu yake bado hasara juu ya hasara?
 
Hizo nyumba za Wajerumani zilijengwa na msingi Imara toka kujenga kwake. Zina misingi ya mawe ndio maana wanaweza kubadilisha vigae tu.

ATCL iko mbovu toka chini.

-------------------------------------------------------------
Mjinga huyo, inategemea na foundation na structure na uimara wa nyumba, mbona nyumba nyingi za wajerumani wanaezuwa Paa LA Vigae wanaweka Vigae vingine au bati nzito. Atcl kununua NDEGE faida yake inachukuwa muda, siyo biashara ya maembe au Mahindi kwamba unanunua Leo kesho unauza kwa faida. To break even point ya biashara ya NDEGE inachukuwa 5-10 years.
 
-------------------------------------------------------------
Mjinga huyo, inategemea na foundation na structure na uimara wa nyumba, mbona nyumba nyingi za wajerumani wanaezuwa Paa LA Vigae wanaweka Vigae vingine au bati nzito. Atcl kununua NDEGE faida yake inachukuwa muda, siyo biashara ya maembe au Mahindi kwamba unanunua Leo kesho unauza kwa faida. To break even point ya biashara ya NDEGE inachukuwa 5-10 years.
Find a place to hide your foolishness
 
Swali ni kwamba tulihtaji biashara yenye kuzaa faida after 15yrs? Yaani nchi imekumbwa na njaa, badala ya kuhimiza wananchi walime viazi na mtama, unawapelekea mbegu za mihogo?
 
Watu waliozoea kufanya biashara za dili utawajua tu,yaani biashara uanze na wakati huohuo update faida kwani upon peke yako sokoni?kama biashara ya ndege ni sawa na ya madawa ya kulevya basi nimeelewa.Alafu uyu Chami so ndiye aliyewahi kuwa Waziri wa viwanda?likifukuliwa kaburi lake asije kulialia.Mzee Mwandosya kafukuliwa kaburi la Celtel kimya!
 
Turinunua CASH!! Usitudharirishe. Hivyo hatuogopi interest
Duh! Juzi kati waziri wa fedha kaweka wazi; SGR inakopa Barclays ili kazi iendelee huku majukwaani tukiaminishwa ni fedha za ndani. Juzi kati michango yote marufuku mashuleni jana waziri wa elimu kaweka wazi Bungeni michango inaruhusiwa kwa mujibu wa waraka uliopo! Sijui tushike lipi.
 
Mkurupukaji hujiona anajua kila kitu. Kwa mara nyingine tena kaiingiza nchi kwenye mkenge. Halafu akishavurunda hatii neno kimyaaaa!!! Janga kubwa la Taifa huyu.

Bombadier
Bombadier
Bombadier!

Kwa analysis za kiuchumi kwenye taasisi zilizokuwa zimedumaa kiutendaji na kiuchumi zilipaswa kujengwa upya kuanzia kwenye misingi yake ya kuanzishwa, miiko na mbinu za kisasa (Pengine Wataalam wasingetoa ushauri wa kununua Bombadier).
Unapoongeza mbao mpya na mabati mapya mazito kwenye nyumba kuu kuu ukitarajia upya ni mawazo yasiyo na daraja!

Chanzo: Ukurasa wake wa facebook
 
-------------------------------------------------------------
Mjinga huyo, inategemea na foundation na structure na uimara wa nyumba, mbona nyumba nyingi za wajerumani wanaezuwa Paa LA Vigae wanaweka Vigae vingine au bati nzito. Atcl kununua NDEGE faida yake inachukuwa muda, siyo biashara ya maembe au Mahindi kwamba unanunua Leo kesho unauza kwa faida. To break even point ya biashara ya NDEGE inachukuwa 5-10 years.
Ila ATCL hawajanunua ndege ujue
 
Hasara juu ya hasara. Wenye akili zao ndege zinatakiwa ziwe angani muda mwingi kuepuka gharama za parking. Zitaishia kuozea parking huku taifa likilipia gharama pasi na uzalishaji wowote huku deni la mkopo liko pale pale pengine na interest ya kutisha juu!
Mkuu unasema kweli..
Wengi walifikiri ndege zikishaletwa tu basi ni faida.
 
-------------------------------------------------------------
Mjinga huyo, inategemea na foundation na structure na uimara wa nyumba, mbona nyumba nyingi za wajerumani wanaezuwa Paa LA Vigae wanaweka Vigae vingine au bati nzito. Atcl kununua NDEGE faida yake inachukuwa muda, siyo biashara ya maembe au Mahindi kwamba unanunua Leo kesho unauza kwa faida. To break even point ya biashara ya NDEGE inachukuwa 5-10 years.

ATCL has never made any profit for the last 20 years and the way it is structured today it will never make profit for the next 100 years.
 
Bombadier zije nyingi nasisi wanyonge labda tutapanda route ya msata ikianzishwa.
 
-------------------------------------------------------------
Mjinga huyo, inategemea na foundation na structure na uimara wa nyumba, mbona nyumba nyingi za wajerumani wanaezuwa Paa LA Vigae wanaweka Vigae vingine au bati nzito. Atcl kununua NDEGE faida yake inachukuwa muda, siyo biashara ya maembe au Mahindi kwamba unanunua Leo kesho unauza kwa faida. To break even point ya biashara ya NDEGE inachukuwa 5-10 years.
Uhuru wa kutoa mawazo. Kumbuka mwandishi ameandika methali
 
Back
Top Bottom