kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,392
Tiss inakuwa na watu wa namna hii, basi tumekula hasara
Ukimuangalia usoni anaonekana ni mzima kumbe kwenye kichwa ndani ya ubongo kumejaa funza
Yale yale ya bashiteKumbe ndiyo maana kichwani kwake hamna kitu
Halafu leo hii anamuingiza Mzee wa watu kwenye mipango ya kumng'oa mkulu. Kweli mfadhili mbuzi, lakini binadamu kuna siku atakuudhi tu.Mahari ya kuolea alisaidiwa na Kikwete
Tukumbushe mkuuHili suala mbona lilishadadavuliwa humu!!
Hilo koti na tai yake na hilo jengo hapo nyuma yake limeeleza mengi.
Huyu ni zaidi ya bashiteYale yale ya bashite
Huyu ni zaidi ya bashite
Huyu akipewa u DC tu itakuwa mdundikoBonge la mshamba, Ndiyo shida ya kukulia kwenye maisha ya kushare chumba cha kulala na mifugo.
Wakuu naona kuna kitu kinakosekana katika kuangalia tabia za huyu mtanzania mwenzetu, naomba tupitie taratiiiiibu na kwa umakini mkubwa cv yake kuna kitu nina uhakika tutakiona
Aisee basi hao ndiyo waliomtoa akiliAlilipiwa mahali na Kikwete afu Riziwan akamnunulia viatu na suti.
Niayo tu kwa leo.