Cyprian Musiba: Huenda hukujua taarifa hizi kuhusu mtu huyu

Status
Not open for further replies.
Unalala na njaa kwa kuhenyeshwa na Musiba jinga kweli wewe,na bado mpaka utaukizua anakunyaga mavi ya rangi gani
Wakuu naona kuna kitu kinakosekana katika kuangalia tabia za huyu mtanzania mwenzetu, naomba tupitie taratiiiiibu na kwa umakini mkubwa cv yake kuna kitu nina uhakika tutakiona
 
Itasaidia nini wakati anaonyesha CV yake live kwa matendo yake.
Pengine ukiona utatumia zaidi kuliko ninavyo umia nikiiona CV ya Palamagamba na matendo yake live.
CV YA MUSIBA

kasoma sekondari huko Bunda
kabila mjita
umri 56 [lizee]
mke wa ndoa Maria- Chato ila muhaya.
watoto:8 ila wawili ni wa mama alizaa na house boy.
makazi: Kisemvule Dar
gari:-Spacio
historia ya siasa: CCM akiwa channel 10 enzi za Rostam, baadae Rostam akaigaiwa bure hii Africa media, alipoingia jiwe akaporwa na ccm na sasa amesajiliwa na shirika flani, kuchafua watu.
 
Mtu yeyote asiye na digrii (kama Musiba) hawezi kushtakiwa kwa professional miscounduct. Ndio maana jengo likijengwa lazima awepo residence engineer ili likidondoka yeye ndo awe mshitakiwa namba moja (huwezi ona kibarua mbeba zege akishtakiwa kwa jengo kudondoka right?).
Gazeti lolote lazima liwe na muhariri mwenye digrii ili ikitokea mashtaka anashtakiwa muhariri kwanza kama mshiktawa namba moja then ndio anafuata yule aliyeandika habari...
So kwa elimu ya Musiba, sidhani kama kunaweza kuwa na charges za kufunguliwa dhidi yake zaidi tu ya kumpuuza...
 
CV YA MUSIBA

kasoma sekondari huko Bunda
kabila mjita
umri 56 [lizee]
mke wa ndoa Maria- Chato ila muhaya.
watoto:8 ila wawili ni wa mama alizaa na house boy.
makazi: Kisemvule Dar
gari:-Spacio
historia ya siasa: CCM akiwa channel 10 enzi za Rostam, baadae Rostam akaigaiwa bure hii Africa media, alipoingia jiwe akaporwa na ccm na sasa amesajiliwa na shirika flani, kuchafua watu.



Best kumbe ni mbabu kbs huyu???hahahaha nimependa hapo kwenye siblinhlgs hahhaha kwa hali hii lazima mke azae na housboy aisee.maana mwanaume hana akili kbs...unapataje hisia na choko km musiba🙄🙄
 
Wakuu! Salam! Ningependa kujua huyu mtu amekuja Kua maarufu Toka kipind cha vuguvugu la membe mwaka Jana!

Mjuzi tafadhali anijuze hapa
 
Status
Not open for further replies.
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom