Cyprian Musiba: Huenda hukujua taarifa hizi kuhusu mtu huyu

Status
Not open for further replies.

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Wakuu naona kuna kitu kinakosekana katika kuangalia tabia za huyu mtanzania mwenzetu, naomba tupitie taratiiiiibu na kwa umakini mkubwa cv yake kuna kitu nina uhakika tutakiona

UPDATE:

Jina lake halisi ni Mayagi Mulaga na sio Cyprian Musiba.

Alifeli darasa la saba mara 3.

Akashindwa uchaguzi wa Ubunge jimbo la Mwibara mara 2 (2010 na 2015.)

Ana file la kuwa na maradhi ya akili huko Mirembe tangu 2012.
 
Wakuu naona kuna kitu kinakosekana katika kuangalia tabia za huyu mtanzania mwenzetu, naomba tupitie taratiiiiibu na kwa umakini mkubwa cv yake kuna kitu nina uhakika tutakiona
Huwezi ipata...LABDA ITENGENEZWE...TISS HUYO...
 
Itasaidia nini wakati anaonyesha CV yake live kwa matendo yake.
Pengine ukiona utatumia zaidi kuliko ninavyo umia nikiiona CV ya Palamagamba na matendo yake live.
Mkuu kuna kitu hakiungi vizuri labda tukiona cv yake tutakigundua
 
Kweli kabisa tunaomba kama mtu ana cv yake tuione hata background history yake atuwekee humu.maana huyu inabidi tumfaham ins&out tumuelewe.la sivyo anatuchezea akili pengine ni ktk walewaleee.
 
Wakuu naona kuna kitu kinakosekana katika kuangalia tabia za huyu mtanzania mwenzetu, naomba tupitie taratiiiiibu na kwa umakini mkubwa cv yake kuna kitu nina uhakika tutakiona
Ni vema ukachana na watu wa namna hii, fanya yako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom