Cyprian Musiba: Huenda hukujua taarifa hizi kuhusu mtu huyu

Status
Not open for further replies.
IMG_20190703_084611.jpg
 
Alilipiwa mahali na Kikwete afu Riziwan akamnunulia viatu na suti.
Niayo tu kwa leo.
Wakuu naona kuna kitu kinakosekana katika kuangalia tabia za huyu mtanzania mwenzetu, naomba tupitie taratiiiiibu na kwa umakini mkubwa cv yake kuna kitu nina uhakika tutakiona
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom