Cyprian Musiba aishauri Serikali ifungie mitandaoni yote ya kijamii hadi janga la Corona lipite

1588229822831.png
 
Nadhani si sahihi kufanya hivi..
Mitandao ya kijamii imekua ni sehemu kubwa sana ya watanzania kubadilishana mawazo na kupena taarifa mbalimbali.
Pia kipindi hichi cha lockdown watu wengi hawatoki nje, na kupitia mitandao hii wanapata information mbalimbali kuhusu maendeleo ya jamii yetu ya kitanzania.
Me naona kufungia mitandao sio suluhisho sahihi kupambana na upotoshaji ambao unazungumziwa. Nashauri itafutwe njia mbadala tu.
 
Hilo alilosema Musiba wala sio la ajabu wala la kushangaza, maana ndio kazi yake. Jambo la kushangaza na kusikitisha ni kwamba USHAURI WAKE UTAKUBALIWA!!!! Ni suala la muda tu
 
Sio sahihi kabisa kufungia mitandao kisa upotoshaji, japo ni kweli kuwa karibu asilimia 90 ya taarifa zinazokuja humu mitandaoni ni uzushi,umbea na unafiki mkubwa.
Akili kichwani mwako
 
Back
Top Bottom