Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 441
habari zenyu wakuu wote wa jf, naombeni msaada wenu, nimenunua flash disk 16GB ya Transcend lakini kila nikitaka ku-exchange data na computer naandikiwa ''cyclic redundancy check'', je kuna namna yeyote naweza kufanya ikafanya kazi kama kawaida?