Cyber crime,viroba baharini; Ndugu zanguni tutumieni mitandao ya kijamii vizuri. Lissu alisema hakuna aliye salama

'..jamaa anachokumbuka mara ya mwisho ali-like post ya Mange..'

uki-bold hiyo sentensi,unapata jibu pia
 
Upo nyuma ya keyboard yako unaanzisha thread unamalizia hakuna aliye salama?,huwa natamani mkakae North Korea hata dakika 60 ndo mrudi na adabu,tatizo mmezoea kupewa uhuru mpaka kumdhihaki mkuu wa nchi miaka ya nyuma,huyu aliyeingia alishajiandaa isifikie na yeye mkamuita DHAIFU na amefanikiwa kwa 99%,niliwahi kusema ukiondoa wazungu binadamu waliobaki ili wapate maendeleo ni mchaka mchaka,viboko ikibidi hadi risasi.Hiyo China hapo ilipo wamenyongwa wengi na viboko juu ndo maendeleo yamepatikana.Ukicheka na nyani unavua mabua.Fanya mambo yako,ya serikali iachie serikali.
 
China si Tanzania. Wachina walijenga viwanda na si majukwaa ya siasa.
 
Sawa lakini katika hatua zao kufikia walipo hatua mojawapo ni ku eliminate ma whistle blowers wanaojaribu kuwaondoa watu kwenye mwelekeo.Nenda centers zilizo bize kama kariakoo,buguruni,mbagala etc uone watu walivyo bize na shughuli zao za kujipatia kipato,ukishinda unafanya ubunifu wa kuichokonoa serikali mitandaoni,inakuchokonoa mara 2,fanya yako ya serikali iachie serikali.Kama unadhani unaweza kuibadilisha KILA LA HERI.
 
Naona vinatumika vitisho vya namna hiyo, teh teh, ogopa sana teknolojia
 
ILA NIKUKUMBUSHE TU

1. HITLER ALIUA WATU ZAIDI YA MILION 6 LAKIN ALICHEMKA
2. IDDI AMINI DADA ALIUA WATU ZAIDI LAKI 3 LAKIN ALIFURUMUSHWA.
 
Ukichukulia maisha kama ya shule (haya yanaeleza zaidi usawa mbele ya sheria) kunakuwa na wanafunzi wa kila aina, ndipo hapa unaweza kukuta aliyefanya mambo ya kijinga akawapa wenzake nafasi ya kujifunza kutokana na ujinga wake huku aliyefanya mambo ya kielevu akashindwa kuwa impress wenzake kwa kumuona kama 'anajipendekeza'.
Hakuna haja ya kuwalazimisha wamfuate nani bali kuwapa uhuru wa kujifunza inawasaidia zaidi kujua madhaifu na ubora wao, hivyo hivyo uhuru wa kujieleza unaweza kuwasaidia watu kujitambua badala ya kuwabana!
 
Sio mpenzi sana wa kuanzisha uzi ila nimelazimika kuandika uzi siku ya Leo.Sababu zilizonisukuma kuandika uzi ni kuhusu chalii mmoja hapa kapagawa baada ya kupigiwa simu na kuambiwa aripoti makao makuu kitengo cha cyber kusaidia upepelezi na kuhojiwa,..jamaa anachokumbuka Mara ya mwisho ali-like post ya Mange mwanzo nilidhani ni matapeli ila hali inaonyesha ni kweli japo jamaa anasema alitoa like tu na hakuna mahala alicomment au kupost ,ila itakua alienda further japo sijui

Siku chache nyuma kuna MTU huku mtaani alimtuhumu rais kuwa ana mkono kwenye tukio la Lissu kilichotokea jamaa kachukuliwa na watu wasiojulikana huku mashuhuda wakishuhudia na watu wamemtafuta vituo vyote vya polisi wamemkosa hawajui atakua wapi na imepita mawiki haijulikani yupo hai,kwenye viroba au kafa.

Hii ni mifano michache ila nina mifano 2 mingine ambayo ni worse haifai kuzungumza ya watu kupotea baada ya kushindwa kuzuia midomo yao.

Ndugu zanguni wana JF ,wananchi nawapendeni sana chungeni midomo yenu na tumieni facebook na Instagram vizuri majamaa wapo active ,msi comment na kupost vitu vya kuwashwa washwa kwenye mitandao ya fb na Instagram kwa manufaa yako na familia yako na pia chunga mdomo wako kwenye hadhira ya watu hata kama unawashwa washwa .

Kama watu wanachukuliwa na kupotea hovyo halafu hawaonekani vituoni wanakwenda wapi ? Watu 2 wamepotea kwa kuisema hovyo régime na mashuhuda wameona wakichukuliwa lkn cha kushanga vituo vyote wametafutwa wamekosekana halafu juzi tunaona watu wamefungwa vitambaa vyeusi na wamefungwa kwenye viroba na kudumbukizwa baharini na taarifa hazitolewi mpaka wavuvi walipoamua kutoa taarifa kwenye media ..

Kama hawapo vituoni wanakuwaga wapi ???
Acha unaa kuipakazia Serikali ya Magufuli.
Cha msingi ni wadau kuitumia vizuri mitandao ya kijamii kwa lengo la kujifunza na kujenga jamii Bora ya watanzania na si vinginevyo
 
Upo nyuma ya keyboard yako unaanzisha thread unamalizia hakuna aliye salama?,huwa natamani mkakae North Korea hata dakika 60 ndo mrudi na adabu,tatizo mmezoea kupewa uhuru mpaka kumdhihaki mkuu wa nchi miaka ya nyuma,huyu aliyeingia alishajiandaa isifikie na yeye mkamuita DHAIFU na amefanikiwa kwa 99%,niliwahi kusema ukiondoa wazungu binadamu waliobaki ili wapate maendeleo ni mchaka mchaka,viboko ikibidi hadi risasi.Hiyo China hapo ilipo wamenyongwa wengi na viboko juu ndo maendeleo yamepatikana.Ukicheka na nyani unavua mabua.Fanya mambo yako,ya serikali iachie serikali.

Acha Kutisha Watu choko ww , Ushawahi Kukaa North Korea Hata Kwa Hizo Dakika 60? Kama Serikali Inakosea Lazima Ielezwe Ukweli Huo Ukondoo wako Peleka Chumbani Kwako.
 
Sio mpenzi sana wa kuanzisha uzi ila nimelazimika kuandika uzi siku ya Leo.Sababu zilizonisukuma kuandika uzi ni kuhusu chalii mmoja hapa kapagawa baada ya kupigiwa simu na kuambiwa aripoti makao makuu kitengo cha cyber kusaidia upepelezi na kuhojiwa,..jamaa anachokumbuka Mara ya mwisho ali-like post ya Mange mwanzo nilidhani ni matapeli ila hali inaonyesha ni kweli japo jamaa anasema alitoa like tu na hakuna mahala alicomment au kupost ,ila itakua alienda further japo sijui

Siku chache nyuma kuna MTU huku mtaani alimtuhumu rais kuwa ana mkono kwenye tukio la Lissu kilichotokea jamaa kachukuliwa na watu wasiojulikana huku mashuhuda wakishuhudia na watu wamemtafuta vituo vyote vya polisi wamemkosa hawajui atakua wapi na imepita mawiki haijulikani yupo hai,kwenye viroba au kafa.

Hii ni mifano michache ila nina mifano 2 mingine ambayo ni worse haifai kuzungumza ya watu kupotea baada ya kushindwa kuzuia midomo yao.

Ndugu zanguni wana JF ,wananchi nawapendeni sana chungeni midomo yenu na tumieni facebook na Instagram vizuri majamaa wapo active ,msi comment na kupost vitu vya kuwashwa washwa kwenye mitandao ya fb na Instagram kwa manufaa yako na familia yako na pia chunga mdomo wako kwenye hadhira ya watu hata kama unawashwa washwa .

Kama watu wanachukuliwa na kupotea hovyo halafu hawaonekani vituoni wanakwenda wapi ? Watu 2 wamepotea kwa kuisema hovyo régime na mashuhuda wameona wakichukuliwa lkn cha kushanga vituo vyote wametafutwa wamekosekana halafu juzi tunaona watu wamefungwa vitambaa vyeusi na wamefungwa kwenye viroba na kudumbukizwa baharini na taarifa hazitolewi mpaka wavuvi walipoamua kutoa taarifa kwenye media ..

Kama hawapo vituoni wanakuwaga wapi ???
Kijana wala usiwe na hofu , maana wauaji hawa wa hapa kwetu nao watakufa tu .

Hata hivyo Sheikh Ponda anajua kila kitu kuhusu maiti za viroba
 
Back
Top Bottom