Cyber crime,viroba baharini; Ndugu zanguni tutumieni mitandao ya kijamii vizuri. Lissu alisema hakuna aliye salama

son of a teacher

JF-Expert Member
Jul 30, 2017
515
1,364
Sio mpenzi sana wa kuanzisha uzi ila nimelazimika kuandika uzi siku ya Leo.Sababu zilizonisukuma kuandika uzi ni kuhusu chalii mmoja hapa kapagawa baada ya kupigiwa simu na kuambiwa aripoti makao makuu kitengo cha cyber kusaidia upepelezi na kuhojiwa,..jamaa anachokumbuka Mara ya mwisho ali-like post ya Mange mwanzo nilidhani ni matapeli ila hali inaonyesha ni kweli japo jamaa anasema alitoa like tu na hakuna mahala alicomment au kupost ,ila itakua alienda further japo sijui

Siku chache nyuma kuna MTU huku mtaani alimtuhumu rais kuwa ana mkono kwenye tukio la Lissu kilichotokea jamaa kachukuliwa na watu wasiojulikana huku mashuhuda wakishuhudia na watu wamemtafuta vituo vyote vya polisi wamemkosa hawajui atakua wapi na imepita mawiki haijulikani yupo hai,kwenye viroba au kafa.

Hii ni mifano michache ila nina mifano 2 mingine ambayo ni worse haifai kuzungumza ya watu kupotea baada ya kushindwa kuzuia midomo yao.

Ndugu zanguni wana JF ,wananchi nawapendeni sana chungeni midomo yenu na tumieni facebook na Instagram vizuri majamaa wapo active ,msi comment na kupost vitu vya kuwashwa washwa kwenye mitandao ya fb na Instagram kwa manufaa yako na familia yako na pia chunga mdomo wako kwenye hadhira ya watu hata kama unawashwa washwa .

Kama watu wanachukuliwa na kupotea hovyo halafu hawaonekani vituoni wanakwenda wapi ? Watu 2 wamepotea kwa kuisema hovyo régime na mashuhuda wameona wakichukuliwa lkn cha kushanga vituo vyote wametafutwa wamekosekana halafu juzi tunaona watu wamefungwa vitambaa vyeusi na wamefungwa kwenye viroba na kudumbukizwa baharini na taarifa hazitolewi mpaka wavuvi walipoamua kutoa taarifa kwenye media ..

Kama hawapo vituoni wanakuwaga wapi ???
 
As long as hakuna atakayezikwa kwenye Mbingu kwa maana wote tutaoza wala isikutie shaka kuna siku watachoka kunywa damu za wengine wataacha
 
Hili la viroba vinavyookotwa tangu lianze kutokea kule Ruvu na majibu ya Waziri unaona kabisa hakuna u serious.Viroba vya coco beach ukimuangalia Police mkuu wa kanda maalumu,aah unamwachia Mungu.
Kuna wakati natembelea instagram na kuna mahali niliona maelezo mtu akijitahidi kutufungua macho kuhusu viroba na beach.
Mwenyezi Mungu tupe amani katika nchi hii na usitughadhibikie kama wale waliotangaulia.
 
Sio mpenzi sana wa kuanzisha uzi ila nimelazimika kuandika uzi siku ya Leo.Sababu zilizonisukuma kuandika uzi ni kuhusu chalii mmoja hapa kapagawa baada ya kupigiwa simu na kuambiwa aripoti makao makuu kitengo cha cyber kusaidia upepelezi na kuhojiwa,..jamaa anachokumbuka Mara ya mwisho ali-like post ya Mange mwanzo nilidhani ni matapeli ila hali inaonyesha ni kweli japo jamaa anasema alitoa like tu na hakuna mahala alicomment au kupost ,ila itakua alienda further japo sijui

Siku chache nyuma kuna MTU huku mtaani alimtuhumu rais kuwa ana mkono kwenye tukio la Lissu kilichotokea jamaa kachukuliwa na watu wasiojulikana huku mashuhuda wakishuhudia na watu wamemtafuta vituo vyote vya polisi wamemkosa hawajui atakua wapi na imepita mawiki haijulikani yupo hai,kwenye viroba au kafa.

Hii ni mifano michache ila nina mifano 2 mingine ambayo ni worse haifai kuzungumza ya watu kupotea baada ya kushindwa kuzuia midomo yao.

Ndugu zanguni wana JF ,wananchi nawapendeni sana chungeni midomo yenu na tumieni facebook na Instagram vizuri majamaa wapo active ,msi comment na kupost vitu vya kuwashwa washwa kwenye mitandao ya fb na Instagram kwa manufaa yako na familia yako na pia chunga mdomo wako kwenye hadhira ya watu hata kama unawashwa washwa .

Kama watu wanachukuliwa na kupotea hovyo halafu hawaonekani vituoni wanakwenda wapi ? Watu 2 wamepotea kwa kuisema hovyo régime na mashuhuda wameona wakichukuliwa lkn cha kushanga vituo vyote wametafutwa wamekosekana halafu juzi tunaona watu wamefungwa vitambaa vyeusi na wamefungwa kwenye viroba na kudumbukizwa baharini na taarifa hazitolewi mpaka wavuvi walipoamua kutoa taarifa kwenye media ..

Kama hawapo vituoni wanakuwaga wapi ???
mkuu inbidi na wewe uitwe ukasaidie ni wapi hao vijana walipelekwa kwani ulishuhudia wakichukuliwa hao vijana
 
Chunga domo lako.
 
kwani serikali inaongozwa na wanyama au binadamu? au malaika? Kwa nini iogopwe kusemwa na wananchi wake vibaya? Ikisemwa vibaya si ndiyo fursa ya kujiona inapokosea? Hoja hojani hujibiwa kwa hoja maridhawa
 
Facebook si salama kabisa, bora hata ya whatup. unapokuwa facebook kweli kabisa kuwa makini. its free and very openly!!
 
Wewe ni mchochezi, kusema watu wanachukuliwa mchana kweupe na watu wanaona na wametafutwa hawajapatikana kisha unaunganisha na watu kufungwa vitambaa vyeusi na kutiwa ktj viroba na kutoswa baharini ni ishara tosha kuwa unachonganisha Serikali na watu wake.
Vituo vyote ulizunguka na watu kutafuta watu waliopotea? Vituo vipo vingapi vya polisi? Uliwaona hao watu wakidumbukizwa baharini? Maana andiko lako limekaa kama vile ulishuhudia mwenyewe matukio haya. Inawezekana ukapigiwa wewe simu kwa andiko hili.
Kati ya mitandao na Ukawa mnaogopa nini zaidi?
 
Back
Top Bottom