CWT tujuze Serikali imeongeza mshahara kwa asilimia ngapi hadi mkakata kukubali

Kayabwe

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
355
51
Kuna tetesi Serikali imetuma walaka mpya wa mishahara ila CWT hawajaafiki,walimu tangu jana tunapiga kura ya kukubali mgomo.Tujuze wameongeza asilimia ngapi?
 
Inasemakana wameongeza 13.3% to 14% kura zinaendelea kupigwa though kuna poor communication system maeneo mengi walimu hawajui kinachoendelea.
 
Wewe ndugu ina maana hii serikali huifahamu mpaka sasa ,pole waache cwt waendelee wao wanaelewa nini wanafanya,kodi ya mshahara tu inatosha kugoma
 
Back
Top Bottom