Cwt mpo wapi?

ligendayika

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,183
198
mwaka huu chama cha walimu Tanzania maarufu CWT kilikua na mishemishe nyingi za kupigania maslai ya wanachjama wake. chakushangaza ni kwamba wapo kimya sasa sifahamu kama wafyata mkia au vipi. manake katika madai yao hakuna hata dai moja walilofanikiwa. CWT mnaondoa imani kwa wanachama wenu
 
CWT imejitahidi sana na kwa kweli ilifanya vizuri katika mgomo uliopita. Cha msingi ni kutoiacha serikali ipumzike mpaka haki za walimu zitakapopatikana. Waendelea na mapambano hata kama si kwa kugoma lakini kwa kuipa serikali ultimatum ili serikali isilale au kudhani mgogoro umekwisha. Kwa ujumla nawapa big up cwt taifa kwa kusimama imara. Nadhani hata serikali haikutarajia kilichofanywa na cwt.
 
Kama isingekuwa refa (mahakama) kupendelea, cwt wangeshinda kwa magori mengi kuliko walimu wa Kenya, tatizo la TZ ni mfumo uliopo mahakama inatumika sana kukandamiza wanyonge na wadai haki, ata bungeni swala la maana likiibuliwa muheshimiwa SUPIKA anasema lipo makakamani basi linakwisha.
 
Back
Top Bottom