CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

nizoee mkuu,ila walimu mnakera sana...mpo wengi ila mnahujumu sana harakati za mabadiliko.

Watabadilika tu mkuu coz mishahara midogo na hali ngumu ya maisha vinawafanya wazidi kuichukia ccm siku hadi siku. Halafu kuna damu ya kimapinduzi inazidi kuingia siku hadi siku kwenye tasnia hii; na kufika 2015 I hope 90% ya walimu wote watakuwa wanaharakati.
 
acha ubishi we mwalimu wa mchakamchaka,mgomo ulipangwa tarehe 15 july na sasa umesogezwa mbele kisa nini sasa!!??.....

Haya unaanza tarehe 27july kumbe shule mnafunga tarehe 3august sasa mnagoma wakati wa likizo!??......

Nyie walimu mna laana ya kuwaibia Magamba kula,na mtateseka mpaka mwisho wa dahari.
We ni ngumbaru nini? Ungekuwa dent katika pindi langu lazima ningekulamba Sita za moto.... Kama tunafungua tarehe 9/7 hadi tarehe 3/8 means tarehe 27 tunakuwa KAZINI afu Shule hazifungwi kama maduka hata wakati wa likizo zipo wazi ndo maana hata wewe ulikuwa unaenda zamu afu still kuna madarasa ya mitihani Form 2 na 4 Hao wapo na Hao ndo wataathirika zaidi ka una ndugu yako katika hayo madarasa imelenga kwenu........ Still Sijui huelewi ambacho tunalalamikia kila siku! CWT ndo msemaji na msimamizi mkuu wa haki za walimu tatizo Hao CWT wakiongozwa na Mkoba wanazingua that's why wengine tulitaka tuinyoshe CWT kwanza afu ndo mgomo ufuate..... Anyway kikwetu NITONYE maana yake naomba unile Tigo, so inaonekana unataka kutobolewa spika tena na walimu.....
 
Back
Top Bottom