elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Naomba aliyedownload majina ya walioitwa usahili tarehe 7-9 WCF ayaweke hapa na walioitwa kazini april na utumishi.
Naomba aliyedownload majina ya walioitwa usahili tarehe 7-9 CWF ayaweke hapa na walioitwa kazini april na utumishi.
Hata Mimi nashangaa aisee. Mambo ya ajabu sana!ICT Officer post 1.Wasailiwa 770?????