CV ya Waziri Kivuli Miundombinu Ujenzi na Uchukuzi Chadema

nchi zote dunia ni zenye mafanikio makubwa zimewekeza ktk railway systems,ni vyem tukiwa na watu wenye uwelewa mkubwa ktk mambo ya railway system maana ndio usafiri pekee ulio wa uhakika na uchache wa ajari,huku tulipo watu wengi wanatumia usafiri wa reli ingawaje mabasi yapo lakini si kwa safari ndefu.so mtu kama huyo mazingira tulipo ndio wanaowatumia kwani yupo ktk fani ambayo amesomea kuliko kumweka mtu ilimradi awepo.ingawaje namkubari sana Dr Mwakyembe kwani ni mwepesi na msimamizi mzuri wa mambo kwa hiyo akiwa na watu wajuzi kama hao mambo yatakwenda

Wewe kweli Chadema Addicted yaani kusoma short course miezi mitatu ndio ana uelewa mkubwa katika mambo ya railway.
 
Ulieandika thrd hii, elimu ya albert einstain unaifahamu japo aliitwa prof? Galileo je? U dont know what u have written
 
Wewe kweli Chadema Addicted yaani kusoma short course miezi mitatu ndio ana uelewa mkubwa katika mambo ya railway.

nashukuru kwa maoni yako,mmekuwa na matizo sana wabongo kwa sasa,kila atakae kuwa tofauti na maoni uyatakayo wewe basi unampa jina utakalo wewe,mdogo mdogo tu tutafika,tutawaelimisha ipo siku mtaelewa kuwa ni ruksa kutofautiana kimawazo

ni kheri aliyekwenda kozi wiki kadhaa kuliko asiye na uelewa na jambo husika.
 
Ritz wewe mbona ulidisco na Prof. Ibrahim Hamis Juma(JAJI WA MAHANGA) akakusaidia kukurudisha UDSM? Kwanza,elimu ya wakati wa Arfi ni kiboko. Si sawa na ka-LL.B. ka kudiscodisco kila mwaka. Nakuandikia kitabu;pamoja na Mwanaasha na Dr. Dhaifu. Kaa chonjo...
 
Wanaomuita JK dhaifu wanamatatizo ya afya ya akili na wanahitaji tiba Psychotherapy kwa miezi tisa,tatizo hili huchangiwa pia na njaa

...We kibaraka mpuuzi, akili yako dhaifu kama ya baba yako huyo Mr. Dhaifu, endelea kujipendekeza utapata Bwana, mnafiki mkumbwa, kelebu weeee!
 
Kuna thread ilirushwa humu kuwa viongozi wengi wa chadema wameficha cv zao. Leo umekuja na hili. Kama hiyo ndo elimu ya Arfi basi hakuna haja ya kwenda chuo, maana jamaa ni kichwa sana.
 
CV ya mwenyekiti wao Mbowe Na katibu wao Mchungaji Slaa ndo vichekesho, bora ya huyo mbunge ana utaalam wa Rail ambay nimuhimu sana kwa nchi yetu

Kwa tanzania cv doesnot matter at all sababu hao wenye magamba cv unazothamini wewe wamefanya nini? wameliacha taifa na wananchi vibaya, mfano wa jembe hilo Michael Faraday (was a genuine experimental genius and is considered one of the most influential scientists of all time. Oh, and he never had any formal education.Faraday invented the electric motor, the electric generator, etc).
Read more: 6 Uneducated Amateurs Whose Genius Changed the World | Cracked.com http://www.cracked.com/article_1924...se-genius-changed-world.html#ixzz1ySBkbFFhOna

Nina wasiwasi na cv yako kama ingekuwa nzuri,usingebeza lolote.
 
duh! hii kali, kweli wana haki ya ku-divert kwenye mijadala ya kitaaluma. Sasa nimjua kwanini Chadema wanatoka nje ya mada bungeni.
 
Kuna thread ilirushwa humu kuwa viongozi wengi wa chadema wameficha cv zao. Leo umekuja na hili. Kama hiyo ndo elimu ya Arfi basi hakuna haja ya kwenda chuo, maana jamaa ni kichwa sana.

Wapo walioficha CV zao kina Mnyika bora huyu Waziri wetu kivuli wa miuondombinu ujenzi na uchukuzi.
 
elimu siyo issue mbona wengi wenye elimu ni hohehahe angalia wakina livingstone lusinde na wengine wanahoja gani zaidi ya matusi tu
 
Mara 1,000 Elimu ya Mh.Arfi kuliko Phd za online, and CV za CCM ndizo zinazotuletea bajeti ya kufukirika
 
Ritz we kweli ni dhaifu! Jiulize huyo nchemba,magufuli, na wengine wamekusaidia nini?

Elimu ni bure kama hautoweza kuwasaidi wananchi na kuweza kujitambua mwenyewe au kupambanua mambo.

Hili neno bado linawatafuna sana

"KIKWETE NI DHAIFU"
 
Weka ya Jah people!



Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name:Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mtera
Political Party:CCM
Office Location:Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: llusinde@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary
 
Ritz wewe mbona ulidisco na Prof. Ibrahim Hamis Juma(JAJI WA MAHANGA) akakusaidia kukurudisha UDSM? Kwanza,elimu ya wakati wa Arfi ni kiboko. Si sawa na ka-LL.B. ka kudiscodisco kila mwaka. Nakuandikia kitabu;pamoja na Mwanaasha na Dr. Dhaifu. Kaa chonjo...

Sema ka iTORCH kangu hakana like ningekugongea hapo! Pokea lyk yangu bhana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom