CV ya Waziri Kiongozi wa Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CV ya Waziri Kiongozi wa Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kithuku, Dec 10, 2007.

 1. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2007
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wadau,

  Hii hapa ni CV ya mheshimiwa wetu waziri kiongozi wa Zanzibar, Shams Vuai Nahodha. Nimesoma yaliyomo ndani nikajiuliza kama haya ndio mambo muhimu sana katika wasifu wake, au walioiandika (au kama ni yeye mwenyewe aliyeiandika) wamekosa mambo ya kuandika humo, ikabidi wayaandike hayo. Hasa hizi entry za July 1999 na hiyo ya May 2000 sielewi zinaingiaje kwenye CV, hebu tuelimishane hapa!

  Nanyi hebu oneni mtoe maoni yenu.

  CV yenyewe inapatikana kwenye link hii hapa: http://www.jakayakikwete.com/tanzania/pages/Chief-Minister ,
  lakini nimeamua pia kuinakili na kuibandika hapa chini.


  Chief Minister
  Surname: Nahodha
  Other names: Shamsi Vuai
  Date of birth: 20 Nov. 1962
  Place of birth: Zanzibar
  Marital Status: Married
  Sex: Male
  Nationality: Tanzanian
  Constituency: Zanzibar West District.

  Academic Qualification:

  1969 - 1978 Primary and Junior Secondary education at Kiongoni school in Makunduchi, Zanzibar
  1969 - 1979 Ordinary level education at Ben Bella secondary school
  1980 - 1984 Certificate of languages at the institute of Kiswahili and foreign languages, Zanzibar.
  Area of specialisation: English, French, Kiswahili, History and Education
  1984 - 1987 BA Ed at the University of Dar es Salaam.
  Area of specialisation: French, History, Psychology, Educational Counselling, Educational Administration and Management.

  1995 - 1996 Post-Graduate Diploma in International Relations and Diplomacy at the Centre for Foreign Relations in Dar es Salaam.
  Area of specialisation: International Relations, Diplomacy, Interantional Law, Communication Skills, International Negotiation and Management of Conflict Resolution.

  Professional Skills and Experience:
  April - June 1984 Four months intensive French language course at the Centre of Language Training, Bujumbura University in the Central Republic of Burundi.
  April - June 1986 Four months intensive French language course at the Centre of Language Training, Bujumbura University.
  1988 - 1991 Producer Director of Educational Programmes at Television Zanzibar
  Jan - May 1991 Certificate of General Programme production course at Radio Netherlands Training Centre.
  1996 President of Students� Government at the Centre for Foreign Relations, Dar es Salaam
  1997 News-Editor and Public Relations Officer respectively at the Zanzibar Department of Information
  1998 Equipment organiser for Zanzibar International Film Festival
  1999 Pursuing LL.B Degree course at the open University of Tanzania
  May, 1999 Member of the Steering Committee of the Pan African Women Conference on Peace and Non-violence responsible for publicity and conference equipment
  July, 1999 Master of Ceremony during the award presentation ceremony to mark the closure of Zanzibar International Film festival in which the chief guest of honour was His Excellency, Dr. Salmin Amour, the President of Zanzibar.
  May, 2000 Host to President Benjamin W. Mkapa when he visited Hasnu Makame CCM Zealot at Mwanakwerekwe, Zanzibar.
  2000 - 2005 Elected member of the House of Representatives in Mwera
   
 2. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2007
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  heee heee

  nimecheka kweli, sijui labda kwa kuwa cv yake ilikuwa shallow sana ikabidi na hayo mengine abambikie.

  kweli jf makini mna macho kila kona
   
 3. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kumbe kuwa "master of ceremony" nayo deal kiasi hicho?
   
 4. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2007
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Give a guy a brake, yes he need to show his employer that he hosted the party. Who knows probably one day JK will look for MC on one of his grands birthday party, he qualify for it.

  Thanks waziri Kiongozi for host the party.
   
 5. u

  under_age JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2007
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 317
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ! ni khatari lakini salama
   
 6. M

  MC JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2007
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  haaaahaaaaaaa,

  Master of Ceremon nayo inaingizwa kwenye CV, naona waliona CV yake inaishia nusu kurasa; wakaona waongeza mambo mengine ili angalau ziwe kurasa mbili.

  hata hivyo wamesahau 'aliwahi kuwa Monitor shule ya msingi'
   
 7. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2007
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Ooh...Kithuku, pse tell me this is just a joke, please..! Kama ni kweli naomba uiondoe hapa- aibu tupu kama raia wa nchi za kigeni wataiona.
   
 8. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2007
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Nitaomba ufafanuzi kidogo kwa wana JF kuhusu mwanaume kuwa mwanachama wa kamati ya WANAWAKE ya jambo lolote lile. Je hii inaruhusiwa? Unajua huu wasifu wa Nahodha umekaa kivituko vituko kiasi fulani hivi eeh?
  Yaani inatisha.
  Hebu wana JF "Bonyezeni" Kizenji basi!
   
 9. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2007
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,609
  Likes Received: 6,774
  Trophy Points: 280
  lakini jamaa si ana degree,kwani ubaya uko wapi?
   
 10. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2007
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  yeye angalau kasema ukweli wake hajadanganya, kujipa makubwa asonayo ya nn?

  kun a wale wanaodanganya kujitia wana madegree, wana mdoktar na kede kede kumbe uongo mtupu.

  inaonyesha jinsi alivyolelewa vyema sema ukweli japo watu watakucheka na kukuona bojole,

  eeh alikuwa ktk kamati ya kimama si mwanaharakati wa jenda issue tena?
   
 11. M

  Mafuchila JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2007
  Joined: Apr 29, 2006
  Messages: 752
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Inabidi uvae miwani....
   
 12. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2007
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hivi alimaliza open University?
   
 13. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2014
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Kweli uliona mbali mkuu nilishuhudia jana jinsi alivyokuwa anajibu maswali ya waandishi wa habari kwenye kamati anayoiongoza..Alikuwa anatoa majibu ya kwenye sherehe ilihali ni suala linalogusa taifa. Ni vipi unaweza kujali tu content bila kuwa bothered kwamba signature iliyoauthorise contents husika imeghushiwa ama la kwa utetezi wa ki MC kwamba wewe taaluma yako ni ya ualimu na kwamba kuna maspecialist wa kuhakiki signature!
   
 14. josaya

  josaya JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2014
  Joined: Jan 20, 2013
  Messages: 307
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  naombeni cv ya mkuu wa nchi
   
 15. jerrytz

  jerrytz JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2014
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 5,700
  Likes Received: 3,120
  Trophy Points: 280
  April - June 1984 Four months intensive French language course at the Centre of Language Training, Bujumbura University in the''Central Republic of Burundi.''

  Hii nchi haipo duniani................kuna Central Republic of Africa. Ni wazi kwamba wanasiasa wengi wana elimu ya kuungaunga


   
 16. Yusuphsabury

  Yusuphsabury JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2014
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  duuu,huu ni ukanjanja nao!
   
 17. timotheo john

  timotheo john Member

  #17
  Apr 3, 2014
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Majanga haya maana cv kwa uelewa wangu inaconsirt of certificate award and long working experience sasa mambo ya MC hapa yanakuja vp? Mh, HEB WADAU N JUZEN MAY B NAWEZA KUWA WRONG
   
 18. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2014
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Je mmepata wakti kupitia CV za Kiongozi wa Upndani Bungeni na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Au ya Mbunge wa Arusha Town Godbles Lema au ya Mh Vicent Nyerere au hata ya Mnyika.?

  Hakika CV yyake Mh Shamsi sio Mbaya kwani hizo ni mbwembwe tu za uandishi lakin Skuli anayo na inaeleweka kwa kila mtu bila kuhitaji msaada. Kwani kuna ilmu nyingine lazima aje mtu akwambie na kukufafanulia zaidi kama ile ya Dr Slaa.
   
 19. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2014
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hapo naona umepotoka.

  Katika CV unaweka mambo yote muhimu uliyowahi kusoma au hata kuhudhuria ikiwa pamoja na weledi wako kwalo na kutokana na kitu unachotaka kuomba.

   
 20. BEDO NYALUTOGO

  BEDO NYALUTOGO JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2014
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,324
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  mmmmh!!!
   
Loading...