CV ya Said Kubenea, Joster Mwalugumbi na Kondo Tutindaga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CV ya Said Kubenea, Joster Mwalugumbi na Kondo Tutindaga

Discussion in 'Celebrities Forum' started by menny terry, Oct 27, 2011.

 1. m

  menny terry Senior Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakuu kwanza natanguliza salamu then najua kwa wale wasomaji wa gazeti namba moja Tanzania kwa habari na uchambuzi makini. MWANAHALISI. nadhani hawa nilio wataja hapo juu si wageni machoni penu. Nikianza na kubenea ni jembe la ukweli la kujivunia Tanzania.

  Ameweka maisha yake rehani kwa ile kiu ya haki iliyomo moyoni mwake. Hana tamaa ya fedha, Anauwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuchambua vitu kwa undani.kondo na mwalugumbi nao wapo juu kwelikweli.Anae fahamu CV Zao naomba atujuze huenda tukapata ya kujifunza kwao.

  Ahsanteni wakuu!
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hatuhitaji cv kwa wazalendo,
  wanatakiwa kupiga kazi kwani wasomi wa nchi hii wameshindwa kulisaidia taifa pamoja na ma phd,dk ya ukweli.
   
 3. j

  jigoku JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  CV zao zitatusaidia nini nadhani kile wanacho-deliver kwa jamii ni zaidi ya CV,moyo wa kizalendo wa Kubenea ni zaidi ya cv.labda fafanua hoja yako imelenga nini,cv sio issue kwetu na kwa Tanzania cv hazijawasaidia wananchi.angalia viongozi wa serikali,wengi wana cv za nguvu lakini wamelifanyia nini taifa hili?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  vp unataka kuanzisha gazeti au ndio majungu kama kawa?
   
 5. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  tehe tehe! cv ipi mbona yote umeiweka wazi.
   
 6. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Kwenye hayo magazeti kuna namba za simu wanazotumia pia kuna email zao kama huna piga simu namba 0222760560 au email halihalisi@yahoo.com, si kila kitu lazima ukipate humu JF
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  CV zao zitakusaidia nini.
   
 8. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ukutaka cv ya karume ni mapinduzi ya zanzibar, ukitaka cv ya obasanjo ni kuludisha serkali kwenye mikono ya raia, cv ya sokoine vita dhidi ya wahujumu uchum , pia cv ya kawawa ni vita dhidi ya wajiri wazungu, cv ya kibaki kuiburuza kanu so ukitaka cv ya kubenea ni kusoma gazeti la mwanahalisi kila wiki , for me this gay kashalipa ghalama kamwagiwa tindikali nampenda hayuko bias so keep it on ma brother kubenea
   
 9. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unahitaji hizo CV kwa ajili ya kazi gani?
   
 10. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ukitaka ugomvi na memba wa jf omba cv ya mtu wewe utakimbia balaa lake
   
 11. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Kamuulize rostam nasikia kamnunua kubenea na mwanahalisi nafikiri atakua alilidhishwa na hiyo cv unayoitaka........
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,333
  Trophy Points: 280
  menny terry, CV zao unazijua na ndio maana unaziulizia, waandishi majembe wako wangapi usiziulizie CV zao. Wewe unalako jambo, tafadhali nakuomba sana, usilianzishe, waache vijana wachape kazi!.

  Kwa kukusaidia tuu, Bill Gate alidrop out chuo mwaka wa pili na hakutaka tena digrii, ameajiri watu wenye ma Ph.D ya kufa mtu!, hivyo CV ni nini?!. Kama mtu ni jembe, unaangalia shamba jembe lilipolima sio kuuliza jembe chapa ya nini na mpini ni mti gani, angalia kazi!.
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Mbona mmekuwa wakali,kama ipo si imwagwe jamvini.
   
 14. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  jibu ulichoulizwa acha ushambenga na umbea nyie ndo mnaolitia umaskin taifa letu.kaa kimya kama hujui.
   
 15. D

  Derimto JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nimegundua humu ndani kuna watu wenye tabia za ajabu kabisa yaani wewe umeshaona maisha yako binafsi yanakupiga chenga na hauna msaada kwenye taifa halafu unatafuta cv.za wazalendo wa ukweli nyie ndiyo watu mnaotaka kuturudisha nyuma tuwe tunasoma magazeti ya udaku tu maana mnataka kuwamaliza wazalendo wachache kama kina Kubenea.
   
 16. k

  kazuramimba Senior Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Said kubenea ni mngoni anakisiwa kuwa na miaka kati ya 30 hadi 40.Aliwahi kuwa mwalimu wa kiswahili kabla hajapata wazo la kuwa adui wa mafisadi.Kutokana na kisomo duni alichokuwa nacho alijiendeleza na kufanikiwa kupata diploma.Hana elimu ya kutisha wala nini ni.
   
 17. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Yani hapa sahau CV
   
 18. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CV ni makaratasi tu
   
 19. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kubenea,
  Elimu ya Sekondari Kidato cha Nne
  Diploma
  Mwandishi mwandamizi, Gazeti la Mwanahalisi
   
 20. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Kubenea ni tapeli tu aliwahi kufukuzwa kazi Rai na kushitakiwa kama sikosei kwenye baraza la vyombo vya habari ,kwa kuandika mahojiano ya uongo yaliyo mhusu Pius Ngeze wa Kagera(nafikiri alikuwa Mwenyekiti wa mkoa wa CCM) jamaa alijifanya amemhoji kumbe alitunga hiyo habari Mzee Ngeze akaja juu ikabidi akina Ulimwengu wamtimue .
   
Loading...