CV ya Prof. Sospeter Muhongo na ushawishi wake kwa wanasayansi, wahandisi na wanasiasa vijana

Muhongo: amefunza wataalamu wengi katika fani ya madini ambao wengi wao wameajiriwa na Mengi ambaye amehodhi viwanja na kuvipiga deal, pia cv yake imeuza sana nchi - "good will ya nchi"
Mjasiriamali aliyeajiri moja kwa moja maelfu ya wa Tanzania ambao familia zao zinakwenda shule na kula kupitia mishahara, pia wapo wanaofaidika na Dr Mengi indirectly kama wanao uza bidhaa zake/ wanaofanya nae biashara. Je Prof. Muongo ametufanyia nini/ameisaidiaje jamii kwa uprofessor wake zaidi ya kututukana na kutudharau watanzania?
 
Nadhani Muhongo kwa muda huu mfupi anastahili kusifiwa,amejitahidi sana kurekebisha matatizo ya kutengenezwa Tanesco hadi leo walau umeme siyo tu hakuna mgao bali unasambaa vijijini kwa kasi ya ajabu kutokea katika historia ya Tanganyika/Tanzania,kasoro yake ndogo ninayoiona ni jinsi anvyojibu kwa wananchi,apunguze majibunya mkato na kufedhehesha.Mwananchi wa kawaida kumuelewa Prof.Muhongo anachokifanya kwa sasa ni ngumu mno,wapo wasomi wachache wanaona lakini kwa sababu za binafsi hawadhubutu kuelezea mafanikio ya msomi mwenzao,kinacho mfanya ashindwe kufanya vizuri zaidi ni 'system'.Ndani ya uongozi wa ccm hawataki kuona mwananchi wa nchi hii anafadika na serikali yake.
 
Prof. Sospeter Muhongo is the Minister of Energy and Minerals of the United Republic of Tanzania and a Nominated Member of Parliament. He is, “Officier, Ordre des Palmes Académiques”, an Honorary Fellow of the Geological Society of America (HonGSA), an Honorary Fellow of the Geological Society of London (HonFGS), an Honorary Research Fellow of the Chinese Academy of Geological Sciences (HonFCAGS), a Fellow of the Academy of Sciences for the Developing World (FTWAS), a Fellow of the Geological Society of Africa (FGSAf), a Fellow of the African Academy of Sciences (FAAS) and a Fellow of the Tanzania Academy of Sciences (FTAAS).

Prof Muhongo is a fellow of ten highly learned professional societies. He is the first recipient (2004) of the Prof Robert
Shackleton (UK) Award for Outstanding Research on the Precambrian Geology of Africa. He is the Vice President of the Commission of the Geological Map of the World (CGMW). Prof Muhongo is a Full Professor of Geology at the University of Dar Es Salaam, Tanzania and an Honorary Professor of Geology at the University of Pretoria, South Africa.


Prof Muhongo was the Chair of the Jury for the African Union (AU) Kwame Nkrumah Scientific Awards – Continental
Awards for Outstanding Scientists 2011 Edition. He is a member of the Executive Board of the African Inter-Parliamentary Forum on Science, Technology and Innovation (AIPF-STI).

He is effectively involved in various high level regional (Africa) and global science, technology and innovation strategic policy processes (e.g. Africa-Europe STI partnership). He is a Member of the International Experts Group (Global Science Forum) of OECD and has occupied numerous important national, regional and international professional positions dealing with STI, earth resources, science policy and science diplomacy. Prof Muhongo was nominated by his country to be a candidate (2009) for the post of the Director General of UNESCO. He is Editor-in-Chief of the Journal of African Earth Sciences (Elsevier), Associate Editor of Precambrian Research (Elsevier) and a member of several editorial boards of science journals and bulletins. Prof Muhongo is the Senior Editor of the published book (2009) on, “Science, Technology and Innovation for Socio-Economic Development: Success Stories from Africa”.

Prof Muhongo was the President of the Geological Society of Africa (1995-2001). He was the founding Regional Director (2005-2010) of the ICSU Regional Office for Africa, Pretoria, South Africa. He was the Chairperson of the UNESCO-IUGSIGCP Scientific Board of International Geoscience Programme (2004-2008), and the Chair (2007-2010) of Science Programme Committee (SPC) of the UN-proclaimed International Year of Planet Earth (IYPE). He is a Chartered Geologist and an active member of numerous professional societies including, the Geological Society of America, the Geological Society of London, the Royal Commonwealth Society, Geologische Vereinigung (Germany), Geological Society of Africa, Geological Society of South Africa and the Tanzania Geological Society.


He was the Chairman (1999-2005) of the Board of Directors of the State Mining Corporation (STAMICO), Tanzania;
and was the Head (1997-2000) of the Department of Geology, University of Dar Es Salaam, Tanzania. Prof Muhongo
was the Chairman (2002) of the Tanzania Government's Commission of Inquiry on the deadliest Merelani tanzanite
mine's accident. Prof Muhongo is intensively mentoring young scientists, engineers and technologists around the world. He is the Patron of the University of Dar Es Salaam Geological Association of Students (UDGAS), a Patron of the National Young Earth Scientists Network (YES, Tanzania) and is an Advisor to the Global Young Earth Scientists Network (YES, Global).

Prof Muhongo has published over 200 well acknowledged research articles, geological and mineral maps. He has delivered more than 300 invited keynote speeches around the world at international conferences. He has undertaken over 100 contracted scientific research projects, and consultancy services in the mineral industry, environmental issues and STI policy matters. Prof Muhongo has been on many STI review/evaluation panels and advisory boards for both national and international institutions and organizations. He has been an External Examiner/Referee for numerous universities, i.e. examinations moderator and academic staff referee/evaluator (e.g. candidates for professorship positions). Over the past two decades, Prof. Muhongo has co-organized over 100 expert group meetings and international earth sciences, STI and science policy conferences, including those on “Science with Africa (Rapporteur-General)” which are hosted by the United Nations Economic Commission for Africa (UNECA), the African Union Commission (AUC) and their partners.


Prof Muhongo has developed a special interest in the application of STI for sustainable growth and socio-economic
development of the global society. Prof Muhongo who is a recipient of numerous scholarly and professional awards,
recognitions, grants, and fellowships studied geology at the Universities of Dar Es Salaam (Tanzania) and GHttingen
(Germany). He graduated with Dr.rer.nat. degree from the Technical University of Berlin, Germany. Prof Muhongo is
fluent in Kiswahili, English, German and French (basic). E-mail: s.muhongo@bol.co.tz/
profmuhongo.sospeter@gmail.com
Prof Dr Sospeter MUHONGO (Officier, Ordre des Palmes Académiques)
FGSAf, FAAS, FASI, FASSAf, FTAAS, FGIGE, FTWAS, HonFCAGS, HonGSA, HonFGS, CGeol, EurGeol

08 August 2012

Shule yote hii alafu kule mjengoni wanashindana kujadili majina ya watu tu. Du!!!
 
Hii cv imekaa kitapelitapeli!! Waswahili wanasema 'mboga ukiitia sana chumvi hainogi'.
 
Ni hivi kwa kizazi kinachopita, walikuwa wachache sana wenye kisomo cha kiwango hicho. Kwa hivyo ukiomba usajiliwe na vyama vya taaluma nje ya nchi hii, walikubaliwa kirahisi maana navyo hvyo vyama vinatamani kuwa na wanachama katika nchi nyingine. Tunao watu wa namna hii kibao ndani ya taifa hili. Hata ningejitolea mfano mwenyewe- nimekuwa mwananchama wa vyama kibao vya kitalaamu duniani, kirahisi kabisa (inabidi nihesabu - 7 hivi), President kwenye taaluma yangu kimataifa na barani Afrika, nimechapisha na nimefanya kazi na wananchi sehemu mbalimbali lakini hainifianyi mimi niwe kichwa kama unavyosema. Ndani ya nchi wapo bora kuliko haya makopo matupu!

Muhongo amefanya nini kwa taifa! Sio makala alizoandika! Amegundua nini kama mwanasayansi? Sio kunakili na kukariri walioandika wanasayansi wa Ulaya! Ana mpango gani kwa taifa? Sio kukandia na kufikiri kwamba hakuna mwenye akili, uwezo wa fedha kama anavyofikiri! Sio kutudhalilisha! Hafai,ni CV ya ubabaishaji tu na kelele nyingi kama yule mwingine kwenye ujenzi!
Moja ya vitu vilivyofanya nchi za ulaya kuendelea ni kutumiana kuamini watu wake ndio watakaojenga nchi zao. Sisi ni nchi inayojijenga bado hivyo international capital haitajenga hapa bali kwao walikoendelea. Kufungua soko wakati unajenga uwezo wako wa ndani ni upumbavu usioelezeka kwa wasomi wetu. Saudia pamaoja na kutokuwa na utaalamu bado wanahakikisha wanamiliki kisawasawa rasilimali yao. Kwa nini tusiende kuwauliza kisomi wamewezaje wao na sisis tunashindwa? Nadhani kumwona prof ukiwa mtanzania itachukua muda lakini mgeni ataambiwa ingia sasa hivi. Kwa kusikia majibu yake. is it not so said 'if you can not fight them, join them"? Rethink your stand meinherr prof gaat niet so weiter.
 
Mkuu nimekuelewa vizuri kwa ufafanuzi wako, ki ukweli nchi yetu ina changamoto nyingi sana hasa za ki-utalaam, wengi tunaodhani ndio kumbe ni wababaishaji...! Nimejifunza kitu, Ahsante mkuu.

i like the way you have summarized the whole staff!
we want modest people who real feels the needs of the people they serve, he deserve to put tools down and go back to university of dar es salaam, I think that is where he belongs!
 
Anapoteza muda wake kwenye siasa za CCM ajifunze kwa maprofessor wenzake waliomtangulia waliishia kwenye aibu mfano. Prof kapuya na Sarungi sijaona kama walipata heshima yoyote katika siasa.


kajitaidi sasa anapiga siasa maji taka kwa kasi na kama kawa
 
Huko kwingine hakulipi kabisa jamani:
Ukiwa ccccmmm
1. Utauza madawa ya kulevya.
2. Utakuwa fisadi-utaiba serikalini
3. Biashara zako hazina kodi
4. Watoto wako utawapeleka BoT, TRA, IKULU, n.k
5. Endelea kuorodhesha kama una akili timamu.
 
CV imetulia sana ila ni kawaida kwa maprofessor wengi kuwa na cv paipu namna hiyo mfano ni Prof Tibaijuka
 
Bakhresa na std 7 yake akifa leo hata wanangu watawahadithia watoto wao, na bado kutakuwa na Azam this na Azam that. Huyu prof akifa leo tutamkumbuka kwa lipi? siku mbili tu tushamsahau, hana mchango wowote TZ bora hata msanii Diamond!
 
Ileweke kwamba geology ina specifications zake. pale UD kuna ma Drs. wame specialise kwenye Geophysics. hao ndio wamesaidia kutafiti maji hapa Dar na kwingineko. wanauwezo wana pesa ndefu tu. kuna wengine wako kwenye economic geology. wanapiga pesa nzuri. Waziri yeye ni regional geology haina issue zaidi ya makongamano na mambo ya Precambrian na Palaeozoic. is purely science of history of the Earth. mtu aliye specialise regional geology hawezi kuwa competant kama resource geologist, exploration geologist, hydrogeologist au petroleum geologist au geochemist. Hii ilikuwa inaleta ugomvi sana na lecturers wenzake kwa kuwa wao walikuwa na issue za kufanya consultation kwenye makampuni sasa yeye alikuwa anawabania kama head of Department.

Umetufungua macho. Tunashukuru kwa technical explanation about the value his publicly thrown CV. Inaonekana ni CV ya majigambo zaidi kuliko kujitambulisha kwani hata miaka ya kuzaliwa, kusoma, shule alizopitia hazipo.

Ieleweke kuwa malumbano ni Muhongo vs TPSF na wala sidhani ni Muhongo vs Mengi. Hata hivyo ukiwalinganisha ni dhambi. Wakati Mengi ana uwezo wa kutransform elimu ya darasani into practice (investment/entreprising), Muhongo can do best in thesizing. Ndio maana Muhongo haamini kama inawezekana mtanzania kuwekeza kwenye gesi. Tumwonee huruma lkn pia tumkaripie kwani asiturudishe waTZ wote kuwaza theory.
 
Bakhresa na std 7 yake akifa leo hata wanangu watawahadithia watoto wao, na bado kutakuwa na Azam this na Azam that. Huyu prof akifa leo tutamkumbuka kwa lipi? siku mbili tu tushamsahau, hana mchango wowote TZ bora hata msanii Diamond!

Myonge mnyongeni lakini haki yake mpe!
 
Hiyo CV imeleta tija gani katika utatuzi wa kero za wananchi? Hilo ndilo la msingi. Isije ikawa kama CV za Malecela kuwa ndiye mwana CCM aliyewahi kuwa na vyeo vingi kuliko wote lakini mwisho wa siku vilileta ahueni ipi ya maisha hakuna.
 
Hongera sn Prof muhongo kwa kuwa makini sn na kaz yako.Tanzania imejaa watu wenye majungu sn.ww endelea kuchapa kz hapa bongo now umeme haukatiki tunashukuru sn kwa hilo.Pia Prof ukitaka kujua kuwa kuna majungu sn bongo na kwamba kila mtu kwao ni mbaya fanya sampling hapa jamii forum. Alipochaguliwa saada mkuya kuwa wazir wa fedha kelele zikawa nyingi sn.Kagasheki amekaa pale yakatengenezwa majungu mpaka akatoka. Naomba tuache majungu wabongo tuwaache mawaziri wapige kz.
 
Hapo umenena vyema, majungu hupikwa na Mawaziri wabovu na kuenezwa na wananchi wasiojua hili wala lile!
 
Angebaki chuo tu afundishe, sio kila academician ni mzuri kwenye siasa.

Anapoteza muda wake kwenye siasa za CCM ajifunze kwa maprofessor wenzake waliomtangulia waliishia kwenye aibu mfano. Prof kapuya na Sarungi sijaona kama walipata heshima yoyote katika siasa.

Jamaa yuko vizuri anastahili pongezi, ila aachane na siasa...!!

Badhani ttunachanganya kuwa na akili za darasani na akili za kuongoza!!!! Waweza kuwa mzuri kichwani but kumbe hamnazo

the lost academecian RIP IN ADVANCE
Haya sasa kiko wapi? Futile is Futile...! Garbage in Garbage out.
 
Back
Top Bottom