CV ya naibu waziri - David Mathayo David!

Jamberi

Member
Mar 7, 2006
18
122
jamani kuna habari zimezagaa kwenye mtandao kwamba Naibu waziri wetu ni tapeli na ni "kihiyo", kwamba elimu aliyoandika kwenye CV si ya kweli, sasa hili mie linanitatiza.

David , Dr. David M.
GENERAL

--------------------------------------------------------------------------------
ID No.: MEMBER'S PICTURE
Salutation: honorable
First Name: Dr. David
Middle Name: Mathayo
Last Name: david
Member Type: constituency member
Constituent: same magharibi
Political Party: chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O.Box 9503, Dar es Salaam
Office Phone: +255 784 633000/+255 754 865505
Office Fax: 2112538
Office E-mail: ddavid@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Start Date: 28 Dec 2005
End Date: 27 Dec 2010
Date of Birth 24 July 1969

--------------------------------------------------------------------------------
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Free States University PhD (Agriculture) 2001 2003 PHD

Ambala University - India PGD (Int r'tion) 2000 2001 POSTGRADUATE

Pretoria University Masters of Science 1998 2001 MASTERS DEGREE

India PostGraduate Diploma in Public Admin. 1998 1999 POSTGRADUATE

Sokoine University of Agriculture BSc. Veterinary Medicine 1992 1997 GRADUATE

Tosamaganga High School A-Level Education 1989 1991 HIGH SCHOOL

Galanos Secondary School Secondary Education 1985 1988 SECONDARY

Marindi Primary School Primary Education 1978 1984 PRIMARY

--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list

--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Ministry of Industry, Trade & Marketing Deputy Minister 2006
University Affiliates (Agric -Economics + Animal Science) Senior Lecturer 2001 -
Affiliated Colleges of University of Botswana Lecturer 1998 -

--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Parliament of Tanzania 2005 2010
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Youth Council 2002 2007
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of National Executive Council(NEC) 1997 2002
 
Mshahara kuingizwa siyo kosa cha msingi kabla ya kumtuhumu huyu mhusika je alizichukua hizo fedha zilizokuwa kwenye payroll?Kama alichukua basi ni mwizi na anastahili kushitakiwa na ni aibu kwa taifa hivyo Rais amuondoe mara moja kwenye hiyo nafasi baada ya kufanya uchunguzi kwa kuwasiliana na serikali ya Botswana,na wakati Uchunguzi unafanyika basi asimamishwe kazi kwa muda.Pili kama hakuwa na nia mbaya kwanini baada ya kukubali kazi nyingine asiwandikie barua waajiri wake kwamba hata endelea na kazi hapa inaonyesha kwamba alikuwa na nia ya kutenda kosa?Achunguzwe na hatufai anatia nchi doa na ameshavuruga credibility ya watanzania nchini Botswana.
 
hebu iangalie halafu ujaribu kufikiria alifanya kazi muda gani na ndo maana anadaiwa bado kulipwa mshahara bure wa walipa kodi huko tswana.

hivi kama tanzania tunalalamika mafisadi kutoka nje wenye kujinufaisha kwa kodi zetu kwa nini tusiwakemee hawa wanaodhulumu nje na kuharibu sifa ya nchi yetu hebu tuchangamke na maoni

halafu hivi JK kweli anaendelea kukaa na mafisadi wakubwa kama huyu ni lini nchi hii tutapata kiongozi mwenye kujali masilahi ya nchi na wananchi wake?
 
Kidumu Chama cha Mapinduzi na ma speed oos kasi kuanzia Ikulu hadi Bungeni .Maana hawa wote wanao lalamikiwa ni wana CCM lakini kwa kuwa wanalindana watu kimyaa.Angalikuwa ni Mpinzani tayari nma jimbo lingalikuwa wazi na kesi Mahakamani .
 
Tumekwisha piga kelele chungu nzima kuhusu vihiyo na bado wanapeta na hadi kubadilishwa wizara. Msolla aliahidi kushuhulikia, naye huyo ameingia mitini. Spika naye, kimyaaaaaaa! Lingine la kufanya ni lipi? Inaonekana tunapiga konde ukutani tu.
 
Mnajisumbua tu na mheshimiwa Mathayo David hakuna chochote kitakachofanyika kwani yeye yupo above the law,
wanaoweza kuhukumiwa ni kama akina Marehemu Kihiyo kwani ametoka kundi la wanyonge,
kifupi David ni mtoto wa mjumbe wa kamati kuu ya chama aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na akawambia wananchi wabebe misalaba yao wenyewe.
sasa unafikiri David Mathayo ni kama mimi na wewe?hawa ndio wenye nchi sio kama serikali haijui au haisikii ni uzito wa mhusika mwenyewe.
si mnaona PCB inavyofanya kukamata mwl mkuu wa sekondari, hakimu wa mahakama ya mwanzo n.k, kuendelea kupiga kelele ni sawa na kelele za mpangaji hazimnyimi usingizi mwenye nyumba.
 
Ninavyofahamu mimi huyu jamaa huwa anataka aonekane kuwa ni mtoto wa huyo mjumbe wa kamati kuu huku akijua si kweli...sana sana wana ujirani huko kijijini kwao.
 
Mwanamagenzi hapo umenena, si kweli kuwa wana undugu wa karibu kiasi hicho. Huyu jamaa historia yake kisiasa kama sikosei ilianzia umoja wa vijana ambapo aliweza kuingia NEC kwa kofia ya vijana. Jambo jingine kubwa alilofanya ni kuvuta kikundi cha wanafunzi wa SUA kujiunga na CCM wakati upizani ukiwa umepamba moto sana ndani ya vyuo kikuu. Vile vile inaeleka kuwa hajafanya kazi Tanzania kabisa maana muda si mrefu alipotela Botswana na Tz alikuwa anakuja kutembelea ndugu, jamaa na marafiki akiwa na gari yake inayopepea bandera ya CCM. Tatizo lake kubwa ni usanii, postgraduate training yake highly questionable na vilevile kile kitendo cha kupiga fix mwajiri wake kuwa anaumwa wakati anapiga kampeni kinamfanya aonekane tapeli. In one way anaonyesha trend ya waTz kutaka kupata utajiri/madaraka at any cost.
 
Prof Msolla anatakiwa aanzie kusafisha baraza la Mawaziri kwanza, then Mzumbe University halafu ndio aingie mitaani!

Prof Msolla decries forged certificates in EA
DASSU STEPHEN
Daily News; Tuesday,December 12, 2006 @00:07

THERE has been an increase in forgery of academic qualifications, examination leakages and emergence of persons with dubious academic certificates, including degrees and diplomas in East Africa.

In view of this, the Minister for Higher Education, Science and Technology, Prof Peter Msolla, has challenged members of Inter-University Council for East Africa (IUCEA) to double efforts to arrest the situation.

Prof Msolla was speaking yesterday during a workshop on the development of quality assurance handbook for East African universities attended by representatives of the three countries' higher education accreditation councils, universities' quality assurance bodies and the Germany International Exchange Programme (DAAD)

He said: "I challenge you to take up the issue of bogus providers of higher education and other frauds in all forms and manifestations. Already Tanzania, and I believe Kenya and Uganda, are experiencing increasing incidences of forged academic documents, examination leakages and emergence of persons accessing providers of and obtaining certificates, diplomas and degrees of no academic quality or validity."

Prof Msolla urged the regulatory organs in the countries to take necessary measures to protect the public. "This would inhibit persons with fake qualifications to access opportunities for and obtaining admissions in higher education, job positions and promotions, and even assuming undeserved academic titles. If this trend is left unchecked, it would lead our countries into wrong destinations," he cautioned.
He also called for concerted efforts to confront educational challenges of the day.

"We need a regional quality assurance handbook that is nationally, regionally and internationally credible. I believe that a proposed handbook will serve both our regional and international purposes, that will assist our universities to improve their commitment to quality education," he noted.

IUCEA is a regional inter-governmental organisation whose mission is to encourage and develop mutually beneficial collaboration between universities in East Africa, and between them and governments and other organisations, both public and private.

As part of efforts to promote quality education, several universities in the region have been engaged in exchange programmes.

The Vice-Chancellor of Saint Augustine University of Tanzania (SAUT), Fr Dr Charles Kitima, told the Daily News: "We are collaborating with other universities such as the University of Dar es Salaam and Georgetown University based in the US. SAUT has sent at least ten lecturers abroad as part of an exchange program, this year," he said, adding that it has become difficult to send a big number of students abroad due to high costs.

He also said SAUT had been striving to ensure the university's curricula suited current demands. "We review our curricula after every three years to cope with changing purposes and needs."
Another member, Prof Mayunga Nkunya of the University of Dar es Salaam, challenged IUCEA members to share and harmonise ideas that will ultimately assure quality education to the people.

http://www.dailynews-tsn.com/page.php?id=4813
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom