Hapana mkuu nazungumzia kuondoka Mwibara Kwenda Mwanza. Lakni hili la kuchangia bajeti ni wao tu hamnazo kwa sababu kama kina Bakhresa na Kishimba leo ni matajiri na wanapanga bajeti za mashirka yao, wanakaa kiti kimoja na wasomi kujadili maendeleo ya shirika sidhani kama ni kazi kubwa kwa mbunge kushindwa kuchangia japokuwa kuona vipaumbele, wizara gani inahitaji fedha zaidi na kadhalika..Huyu mbunge mwenye hii CV pamoja na Prof Maji Marefu na Lusinde, wakati wa kuchambua bajeti ukiwaangalia jinsi walivyokuwa wakiwa kama wamemwagiwa maji akuna hata mmoja mwenye kuthubutu kuchangia bajeti wala kuomba muongozo kwa spika...chezea shule.
Uwezo wa ushawishi sidhani kama una elimu ya darasa kwa sababu hata biashara sii wasomi wote wanaiweza vivyo hivyo maendeleo ya nchi sii lazima yaendeshwe na Mtaalam hawa wanatakiwa kuwa upande wa utekelezaji zaidi ya kupiga domotindi..