CV ya kocha wa Kilimanjaro Stars, Ammy Conrad Ninje

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,348
5,977
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images.jpg

Mwenye CV yake atuwekee buana!
 
Ana leseni daraja c la shirikisho la Tanzania TFF,amewahi kusoma maeneo haya,Karume Dar,Tabata na akaenda kula bata England..aliteuliwa kuifundisha Kilimanjaro juzi na imeambulia vipigo haswa..baada ya Hapa ataifundisha Barcelona ya Mabatini Mwanza..
 
Aloh!!
 
PIA nasikia aliipandisha daraja timu ya kaburi1 ya chanika mwisho,ni timu ya wauza matikiti wa stand chanika!
 
Tanzania haitakaa kuja kuendelea kisoka kama bado inatumia njia hizi za mkato. Mpira unataka matumizi sahihi ya sayansi yake. Mpira wa kutumia matunguli haujawahi kumuacha mtu salama
Sasa sijui Watanzania tunataka nini. Tumeleta kocha kutoka Ulaya makusudi ili kuondokana na maswala ya ulozi (uchawi). Bado mnamhusisha kocha wa aina hiyo na mambo ya matunguli. Kama si kuogopa ban ningekutukana. Lakini there is always next time!
 
Does he have qualifications to lead the team successful? Maana kutoka ulaya au kusoma ulaya sio kigezo
 
Ana leseni daraja c la shirikisho la Tanzania TFF,amewahi kusoma maeneo haya,Karume Dar,Tabata na akaenda kula bata England..aliteuliwa kuifundisha Kilimanjaro juzi na imeambulia vipigo haswa..baada ya Hapa ataifundisha Barcelona ya Mabatini Mwanza..
Ɓacelona ni ƴa uhuru siƴo mabatini
 
Back
Top Bottom