CV ya Juma Nkamia

Mkuu hii CV haijitoshelezi. Mbona inaheng'iiii. Jaribu kuleta complete issue which definitely can be understood to all members. Sorry!!!!!!!
 
Kuna chama hakihitaji elimu kinahitaji ukereketwa kina viongozi wa aina hiyo wengi hadi waganga wa kienyeji (Maji Marefu)
 
CV za kupata cheo CCM ni lazima uwe mkereketwa,Muongo ongo hivi, not derterministic yaani upo upo tu, uwe bendera fuata upepo, nk.
hayo ya Elimu mnayajua wenyewe.
 
Mwenye CV Haya, Picha Haya! Chochote wazee anaonekana anataka jina lake Liwe maarufu Kwenye jamii forums. Naombeni ushirikiano wakubwa zangu.
 
Ni mbunge aliepotoka! Hajiulizi kwanini mpaka leo Jamii forums bado ipo na inazidi kuboreshwa, nilidhani watu kama yeye ndio wangekuwa mstari wa mbele kushauri mambo gani yafanyike ili kuendelea kuimarisha uhuru wa habari ndani ya nchi yetu.......lakini bure kabisa huyu bwana!
Kuna members ambao ni wabunge humu, tafadhali nendeni mkampe taarifa kwamba asione kwa vile yeye ana platform ya kusemea(Bunge) ndo keshamaliza kila kitu, sisi wananchi wa kawaida tupo na tutaendelea kuwepo uraiani hata pale yeye atakapomaliza term yake pale mjengoni.
 
Eti anadai ni mtandao unaotukana vongozi,
mimi navyojua bunge ndo chombo kinachoongoza kutukana baadhi ya viongozi:
mara ohh "unawashwawashwa" mara ohh "sio kila mwenye nywele humu ana uwezo wa kufikiri"
mara ohh "rudi darasa la kwanza kajifunze kusoma"
mara ohh "kama mna uchungu na taifa hili nendeni leba mkajifungue"
Mara ohh "flani ni kituko".
Sasa ni mitandao inatukana viongozi ama bungeni nda viongozi wanatukana tena mbele ya wapiga kura.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom