Wasifu (CV) wa January Makamba

Siogopi Chochote!

January Makamba ajitokeze sasa kujibu tuhuma za kuiba mitihani Galanos Sekondari kidato cha nne.

Hatuwezi kuwa na naibu waziri wa sayansi na teknolojia mwenye tuhuma za wizi wa mitihani karne hii inayohitaji weledi bila kupata ufafanuzi wa kina.

Kuna wimbi la wanafunzi kukimbia masomo ya sayansi na wengine kutafuta mbinu za wizi.Tunazipinga ila katika kukabiliana nazo tunampa uwaziri mwenye tuhuma hizo.

Nahisi Mfalme Juha atakua kwenye kiti cha enzi!

.............
Mwanzo ulikuwa wapi Kama ulijua kaiba why hukusrma long???? Na wakati anaiba we ulikuwa wapi ??????:confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused:.........
 
watu wa humu so judgemental
usikute hata baadhi hizo degree mlipata kwa kupiga chabo, kuhonga penzi, wengina laptop mnazotumia za wizi nk

the end dont justfy the means
 
well said... unfortunately, Mfalme Juha ameshakali kiti cha enzi na majuha wenzake wanatumia vijuha vidogovidogo mavyuoni kupiga perepete

it is sickening kuona tutoto twa shule tunarukupuka, tena kwa promotions means za ajabuajabu kumpigia kelele boya asiyeweza chochote zaidi ya kuelea

Sijawahi ona contribution yoyote ya January popote zaidi ya udalali wa makampuni ya simu

Unless he comes out clean ....!
 
ben saanane anza na sugu wazir kivul,mbowe mwenyekiti wa chadema taifa ambaye na yeye alipata 0 form six.slaa elim yake ya kuungaunga kutoka chet hadi phd .then uweke cv yako hapa ndio makamba aje hatuwezi kuwa na double standard.kama unavyotaka

kumbe wao form four wali faulu.....looo.....lakin uyo boga pamoja na kuiba mitahani bado kabata boga, hahahahahahahaha thats funny indeed.
 
Hayu hawezi hata Robo na kama nchi hatuitaki tumpe huyu jama ni mzigo wa taifa
 
Kwa sasa ninaona uwezo wa makamba kama wa zitto. Haimaanishi kuwa naungana na hao uvccm bali yawezekana kweli alifeli lakini dakika za mwisho alijitambua

Zitto Ana akili sana na IQ kubwa sana, huwezi kulinganisha na January. Anything January can do, Zitto can do better. Namna Zitto alivyoingia kwenye siasa na kufika hapo alipo, ukimpa January Makamba mazingira hayo hayo hawezi kufikia hata ngazi ya KATIBU KATA
 
Huoni bichwa lake lilivyo linaonesha kabisa darasani alikuwa Zero kabisa huyo January

Aisee umeniwahi..yano yupo yupo tuuu km jinga jinga...sidhani ht km anaweza kupambanua mambo kiufasaha ht viti maalum wanamshinda kwa cheche...of all the people..January.!!!?? heeeell NOOO
 
ben saanane anza na sugu wazir kivul,mbowe mwenyekiti wa chadema taifa ambaye na yeye alipata 0 form six.slaa elim yake ya kuungaunga kutoka chet hadi phd .then uweke cv yako hapa ndio makamba aje hatuwezi kuwa na double standard.kama unavyotaka

1:Ni bora upate zero kuliko kuiba mitihani kisha upewe uwaziri wa sayansi na teknolojia unaohitaji vipaji na ubunifu kuliko kuiba mitihani huku tukijua ubunifu wa vibaka hauhitajiki katika jamii iluyostaarabika.Sasa tuachane na vita ya kupambana na vibaka!

2:CV ya Mbowe iko wazi kitaaluma.Mgombea urais aliyeruhusiwa kisheria 2005.

Dr.Slaa?Just be honest to yourself.

3:CV yangu iulize jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyonisomesha nje.Viulize vyuo vya Allahavad,Annamalai na Glasgow University-Scotland.Kisha iulize jamii.Kisha Rudi majukwa yote ya JF kuanzia Siasa,International Forum,Chit Chat(Usimtamani Madame B),MMU,Business,Lugha,Sheria,Jf doctor na Intelligence Forum.Nje ya JF nenda Nairaland ya Nigeria,Ghana,The Planet na Political Forum ya USA.Jukwaa Kenya na Mashada ambayo imepumzika kisha turudi kwenye harakati za mabaraza ya katiba badala ya kuendelea kufuatilia other forums.Tulia tuli tuli.
 
Last edited by a moderator:
.............
Mwanzo ulikuwa wapi Kama ulijua kaiba why hukusrma long???? Na wakati anaiba we ulikuwa wapi ??????:confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused:.........

Nimenukuu taarifa mbalimbali emanating from different sources.I hope he'll be smart enough kujibu tuhuma hizi mapema ili.kuepuka vileo kama unavyotoa.
 
Pro cdm ni wajuvi mno kushadadia cv za wenzao.. PINDI zikiwekwa za viongozi wao wanalia kwa mods thread ifungwe.. mara waliosoma wametufanyia nini

Mwizi ni mwizi tu na hakuna namna ya kumuelezea. Hadi anafikia hatua ya kuiba ''paper'' ni wazi kuwa alishajua kuwa hatoki.
Tofauti na watu waliofeli bila kuiba mtihani hao wanaheshima zao kwa jamii kwakuwa hawana doa la wizi.
Pamoja na kwamba Nape ana uwezo mdogo sana wa kielimu (hata kama ameungaunga sana kwa gundi hadi kufikia masters) lakini bado ana unafuu kuliko January ambaye aliiba paper!
 
1:Ni bora upate zero kuliko kuiba mitihani kisha upewe uwaziri wa sayansi na teknolojia unaohitaji vipaji na ubunifu kuliko kuiba mitihani huku tukijua ubunifu wa vibaka hauhitajiki katika jamii iluyostaarabika.Sasa tuachane na vita ya kupambana na vibaka!

2:CV ya Mbowe iko wazi kitaaluma.Mgombea urais aliyeruhusiwa kisheria 2005.

Dr.Slaa?Just be honest to yourself.

3:CV yangu iulize jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyonisomesha nje.Viulize vyuo vya Allahavad,Annamalai na Glasgow University-Scotland.Kisha iulize jamii.Kisha Rudi majukwa yote ya JF kuanzia Siasa,International Forum,Chit Chat(Usimtamani Madame B),MMU,Business,Lugha,Sheria,Jf doctor na Intelligence Forum.Nje ya JF nenda Nairaland ya Nigeria,Ghana,The Planet na Political Forum ya USA.Jukwaa Kenya na Mashada ambayo imepumzika kisha turudi kwenye harakati za mabaraza ya katiba badala ya kuendelea kufuatilia other forums.Tulia tuli tuli.

We jamaa unaakili sana sema unapenda ushabiki sana kwenye siasa pamoja na hayo sikuamini sana unaweza ukawa ni spy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom