Wasifu (CV) wa January Makamba

No Personal Attack,hiyo hoja inaeleweka na inazungumzika,may be hujui kipi kinaendelea katika hiki nikisemacho,

Wewe ndie mwenye personal Attack,kufikiri kwangu kinape nape na kisheikh ilunga ilunga kusikupe shida sana,

I told him to live his life,asipende sana kuchunguza chunguza maisha ya watu na kuyatangaza yake ni bora zaid ya wenzake,wenzake wanaish maisha yao,kama anakosoa its better kukosoa na kutupa ushahid,maisha ya kuwanga wanga na kutegemea kuziwekea chuki destiny za watu hazifanyi MUNGU kumpa yeye destiny bora,mifano kibao tunaiona humu ndan,

I told him to live his life,

There's no promise of a second time around,

There's no reason
why he shouldn't,everything is up to him,not you

Because i promise he'll regret it bro..
Kwani anaishi maisha ya nani? na hayo maisha yanakuhusuje wewe tu mpaka uache hoja inayojadiliwa?
 
Hv huyu faizafoxy anaga shughuli nyngne kwnye kila thread lazma ukute comments zake za utata.

Mamluki wa CCM huyo. CCM wameajiri watu kushinda JF na kuripoti kama wanasemwa vizuri au vibaya. Na yule naniliu nae anaekujaga hapa na mada zake ambazo hazinaga mwanzo , katikati wala mwisho.
 
Kwa sasa ninaona uwezo wa makamba kama wa zitto. Haimaanishi kuwa naungana na hao uvccm bali yawezekana kweli alifeli lakini dakika za mwisho alijitambua

Au inawezekana akawa anamgelezea Zitto kwa sababu ni mentor wake kwenye siasa za kidemokrasia?
 
Hebu tuambie alimaliza mwaka gani na alitumia jina gani ili twende tukafukunyue Baraza tukishathibitisha tutachangia. kale kaugonjwa ka kutoa habari zisizothibitishwa katika jamvi wengi mnako na sijui lini katakoma. Kuambiwa tu na mtu kuwa kasoma nae sio uthibitisho, mbona hata mimi naweza kusema nimesoma na wewe tukamaliza wote six na ukapata div. one wakati labda uhalisia ulimaliza 7 tena kwa shida na kwamba faida pekee uliyoipata ni kupiga picha na mwl. Mkuu.
Mzee wa ngano naona umemwaga ngano.
 
Last edited by a moderator:
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1693.jpg

First Name: January
Middle Name: Yusuf
Last Name:Makamba
Member Type:Constituency Member
Constituent: Bumbuli
Political Party: CCM
Office Location:
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status: Current Member
Date of Birth

Huwa najiuliza kwel Mbunge hajuiiiiiiiii kuandika CV???serios???anashindwa hata na mwanafunzi wa First year?shame on them au kuna vitu wanaficha?MFANO HUYU,HATA MWAKA W KUZALIWA HAJUI AU??na shule je?tutajuaje ana elimu kiwango gani?kama vipi amwambie dada ake amtengenezee CV
 
Acheni wivu wa kipunga nyie mtamjua tu n nan,n suala la muda ww unaekesha huku kuchokonoa watu wenzako wanatusua.....
 
wakuu ningependa kufahamu maelezo (cv) ya mbunge januari makamba.

Kuanzia elimu yake, (na alama alizopata) na maisha yake kwa ujumla.

Na ni sifa gani ya pekee ambayo ilimfanya apate nafasi ya kuwa msaidizi wa j.k (2005 -2010)

Inasemekana jamaa anaandaliwa kuja kuwa president wa Tanzania.

==================
Katika Interview akijibu mwenyewe:

huyo ndio makamba.
 
Eti mkuu ni kweli ulifukuzwa galanosi?
 
Siogopi Chochote!

January Makamba ajitokeze sasa kujibu tuhuma za kuiba mitihani Galanos Sekondari kidato cha nne.

Hatuwezi kuwa na naibu waziri wa sayansi na teknolojia mwenye tuhuma za wizi wa mitihani karne hii inayohitaji weledi bila kupata ufafanuzi wa kina.

Kuna wimbi la wanafunzi kukimbia masomo ya sayansi na wengine kutafuta mbinu za wizi.Tunazipinga ila katika kukabiliana nazo tunampa uwaziri mwenye tuhuma hizo.

Nahisi Mfalme Juha atakua kwenye kiti cha enzi!

Makubwa!!! wewe uliona hili la uwaziri akabadili akatangaza nia ya kugombea Urais, sijui anataka kujipiga photocopy baada ya kunogewa akiwa IKULU!! Urais sio nywere kusema kila mtu anazo.
 
👎👎👌👌 Kilaza apewe nchi...!!!!

Akili kubwa...!!?? Give him ur home to lead u...!!

Hv u written this while clubbing or drinking viroba..!?

With no doughts, ww mtupu sana upstairs...!!!

January ana akili KUBWA...!!??? ur in total hysteria...aren't you...!? Lmao...!!!
 
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani Forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM ana ubavu abishe.

Usitetee usichokijua. ili ujue nimesoma Galanos headmaster alikuwa Kinala, second mistress alikuwa Mama Msemwa. Matokea yalipotoka January Makamba matokeo yake yalifutwa. Headmaster Kinala alitutangazia parade kuwa alifanya cheating ndio maana matokeo yakafutwa na akaonya watu wenye tabia hizo.

Ninashangaa mtu anasema ni rumour ina maana mkuu wa shule alikuwa anazungumza kwa rumour?

Najua January nitamkamatia wapi.Akipata uwaziri tu ndio nazungumza na waandishi wa habari. Hatuwezi kuongozwa na wezi wa mitihani.
 
Back
Top Bottom