Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

tafuteni watu wengine wa kuwasimanga kielimu..........lakini sio Dr. Hussein Mwinyi...........jamaa ana uwezo mkubwa darasani........semeni kingine lakini sio elimu yake.........

umeambiwa alipata four ya pcb aafu alikuwa familia nzuri,uwezo wake uko wapi? Ni wachache sana waliosoma nje ya tz wenye uwezo mzuri kama waliosoma tz. Hasa waliopelekwa na wazazi wao kwa kukosa uwezo wa kupewa program za kitaifa.
 
William we ubashabukia vitu vya kijinga namna hii hapo huoni utata nimeshakutoa katika watu wa maana kabisa huna maana

we bado ulikuwa unamhesabia huyu aliyekosa kazi ya kufanya na kujifanya anakuja kutumikia watanzania? Hivi kasomea nin huyu jamaa? Hata mdogo wangu wa form two hana fikra finyu kama humu
 
umeambiwa alipata four ya pcb aafu alikuwa familia nzuri,uwezo wake uko wapi? Ni wachache sana waliosoma nje ya tz wenye uwezo mzuri kama waliosoma tz. Hasa waliopelekwa na wazazi wao kwa kukosa uwezo wa kupewa program za kitaifa.

sio kila anayesoma nje ni kiazi mkuu!! na udactari it doesn't matter umepata ngapi form four ... experience matters! sidhani kahiruki walimuajiri huku cv ikiwa mbovu!! ni makosa tu ya uchapishaji...
 
HII CV INAJADILIWA KWENYE JUKWAA MOJA LA WASOMI......HEBU TUSHIRIKIANE NAO KIDOGO HAPA, IANGALIE KWA MAKINI,
: Hussein Mwinyi
Surname Mwinyi
First Names: Hussein Ali
Alternate Name
Title: Dr
Country of Birth : Tanzania
Positions
From To Organisation Position
2008 Ministry of Defence & National Services Minister of Defence & National Service
2006 2008 Vice-President's Office Minister of State for Union Affairs
2005 Kwahani Constituency MP for Kwahani
Date of Birth 23 Dec 1966
Political Affiliation CCM
eMail
Telephone
Address
Notes +255 744 279343 [ Retrieved on 19-07-06 ]

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
-Hamersmith Hospital U.K/ Masters in Internal Medicine/-1993-1997 /MASTERS DEGREE
-Marmara University Turkey/ Doctor of Medicine/ 1985-1992 /CERTIFICATE
-Tambaza High School/ A-Level Education /1982-1984/ HIGH SCHOOL
-Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982 /SECONDARY
-Manor House Primary School/ Primary Education /1978-1981 /PRIMARY
-Oysterbay Primary School/ Primary Education/ 1974-1978 /PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Vice-President's Office - Union Affairs Minister 2006
Ministry of Health Deputy Minister 2000 2005
Hubert Kairuki Memorial University Lecturer in Medicine 1998 1998
Ministry of Health Specialist Doctor 1997 1997
Ministry of Health Doctor 1993 1993

****

POINTS TO NOTE!!!
1991-1992-Intern (Marmar university Turkey )
1993-1993- Doctor MMC
1994-1995- Registrar MMC
1991-1997-Masters UK

1)Kwani tofauti kati ya doctor na registrar ni nini?
2)Huyu mtu alisomaje masters tena Clinical:redface: huku anafanya intern Turkey?? tena wakati huo huo akiwa Doctor and registrar Muhimbili??? wakati huohuo akiwa anafanya masters UK?

MH. Dr. Mwinyi, ufafanuzi wako ni muhimu sana katika hili suala la sivyo tutaanza ku'doubt hizi elimu zako!
Nawasilisha...

Hivi unaweza kutoka kwenye certificate unaenda Masters?

Hapa Tanzania hakuna chuo kinachomkubalia mwanafunzi wa certificate kwenda masters, hata kwenda kwenye hiyo degree yenyewe kuna complexity pia. I would have been convinced kama ingekuwa ni diploma. Anyway lets responsible agencies do their work.
 
HII CV INAJADILIWA KWENYE JUKWAA MOJA LA WASOMI......HEBU TUSHIRIKIANE NAO KIDOGO HAPA, IANGALIE KWA MAKINI,
: Hussein Mwinyi
Surname Mwinyi
First Names: Hussein Ali
Alternate Name
Title: Dr
Country of Birth : Tanzania
Positions
From To Organisation Position
2008 Ministry of Defence & National Services Minister of Defence & National Service
2006 2008 Vice-President's Office Minister of State for Union Affairs
2005 Kwahani Constituency MP for Kwahani
Date of Birth 23 Dec 1966
Political Affiliation CCM

Telephone
Address
Notes +255 744 279343 [ Retrieved on 19-07-06 ]

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
-Hamersmith Hospital U.K/ Masters in Internal Medicine/-1993-1997 /MASTERS DEGREE
-Marmara University Turkey/ Doctor of Medicine/ 1985-1992 /CERTIFICATE
-Tambaza High School/ A-Level Education /1982-1984/ HIGH SCHOOL
-Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982 /SECONDARY
-Manor House Primary School/ Primary Education /1978-1981 /PRIMARY
-Oysterbay Primary School/ Primary Education/ 1974-1978 /PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Vice-President's Office - Union Affairs Minister 2006
Ministry of Health Deputy Minister 2000 2005
Hubert Kairuki Memorial University Lecturer in Medicine 1998 1998
Ministry of Health Specialist Doctor 1997 1997
Ministry of Health Doctor 1993 1993

****

POINTS TO NOTE!!!
1991-1992-Intern (Marmar university Turkey )
1993-1993- Doctor MMC
1994-1995- Registrar MMC
1991-1997-Masters UK

1)Kwani tofauti kati ya doctor na registrar ni nini?
2)Huyu mtu alisomaje masters tena Clinical:redface: huku anafanya intern Turkey?? tena wakati huo huo akiwa Doctor and registrar Muhimbili??? wakati huohuo akiwa anafanya masters UK?

MH. Dr. Mwinyi, ufafanuzi wako ni muhimu sana katika hili suala la sivyo tutaanza ku'doubt hizi elimu zako!
Nawasilisha...

Kuna mtoto wa mkubwa alikuwa Muhimbili College miaka ya 90 na aka disco. Akapelekwa Turkey kusoma na akarudi anaitwa dr. Sasa isije ikawa ndiye huyo. Waliokuwa Muhimbili kabla 1995 watujuze.

Halafu ushabiki wa mtu alikuwa lecturer eti ndio aonekane ana akili ni shabiki uliopitwa na wakati. Kuna lecturers wengi ambao ni matatizo lakini akisha kuwa lecturer pengine wanafunzi mnakuwa na ubavu kidogo wa kumkataa. Mnaweza kuraise concern/ complaints na akaondolewa baadae na wakafaidi watakaofata.
 
Hongera kaka kwa kuachana na MAJUNGU na kueleza ukweli!

acheni ushabiki wa vitu msivyovijua,husein alienda akawapa siasa na vitisho vya kuwafukuza kazi na kuchochea mgomo. Walikuwa na anna,kesho yake na manesi wakagoma. Baadaye akaenda sumaye na kuwapa vitisho pia na kuwaambia hii kazi ni ya wito,jamaa wakamwambia kama ni kazi ya wito tupeni beji ya kutufanya tusafiri bure,tuchukue vitu madukani bure na huduma nyingine. Baadaye wakamwambia mbona we umeishia diploma tu na unakula shea kubwa ya nchi hii na wengineo? Sumaye akakasirika na kutangaza kuwafukuza kazi madaktari wote. Baada ya mambo kuwashinda wakawarudisha wote na mishahara ikapanda,baada ya uchaguzi ikapanda zaidi. Achana na wanaokula na hawa viongozi wanataka tuwaamini huku madudu yao tunayafahamu.
 
--Hamersmith Hospital U.K/ Masters in Internal Medicine/-1993-1997 /MASTERS DEGREE
-Marmara University Turkey/ Doctor of Medicine/ 1985-1992 /CERTIFICATE
-Tambaza High School/ A-Level Education /1982-1984/ HIGH SCHOOL
-Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982 /SECONDARY
-Manor House Primary School/ Primary Education /1978-1981 /PRIMARY
-Oysterbay Primary School/ Primary Education/ 1974-1978 /PRIMARY
hii miaka ina utata mkubwa.................?????????
 
sijaona thread iliyokaa ki chuki binafsi kama hiii!!! mnaweza mkahoji uwezo wa kuongoza wa Dr Hussein mwinyi.. lakini si elimu yake! hayo makosa ya aliyeandika hiyo cv huko mlikoitoa ... mnadai ali disco muhimbili fine!! si alikwenda kumalizia Turkey !! au uki disco muhimbili ndio mwisho wa medical career!! ? watu bongo sijui mnamawazo gani!! ? hebu tafteni passport mkaoshe matongo hata bondeni hapo! kufeli form four.. au kupata four form six .. sio mwisho wa carer ..

nchi za wenzetu hawakutungii mtihani ili ufeli they are training you to be a doctor! ndio maana alipata kuwa lecturer kairuki!! pia
 
Tatizo kubwa ni kwamba hiyo CV haijaandikwa vizuri. Hata kama huyu Mh. hakupitia njia imara ya elimu na taaluma (kama wengine wanaavyoamini) lakini CV lazima ionyeshe uwiano sahihi wa miaka ya msingi, sekondari, vyuo na kazi. Hii ni kama vile alimpa kazi mlipuaji kuiandika bila mwenyewe kujisumbua kidogo kuipitia. Kuandika CV (kujipresent) nayo ni kazi hata bila kunuia kughushi taarifa.
 
sio kila anayesoma nje ni kiazi mkuu!! na udactari it doesn't matter umepata ngapi form four ... experience matters! sidhani kahiruki walimuajiri huku cv ikiwa mbovu!! ni makosa tu ya uchapishaji...

ndo maana nikasema wengi wao,wengine ndo kina makamba,sioi et al. Sina shaka na wanaopelekwa na national programs kwenda nchi kama russia,china,us,sa,algeria,uk nk. Chuo kinavyoanza huwa kinabebabeba tu ilimradi kiwe na wahadhiri na kupata usajili. Umesahau ishu ya udom? Husein aligoma asifanye intern,sasa utakuwaje registar bila kufanya intern kwa sheria za tz.? Kupractise kama medical dr lazima usajiriwe na MCT baada ya kumaliza internship,yeye alisajiriwe bila kufanya intern? Kuna madudu mengi 7ana kwenye ufuatiliaji wa elimu za watu nchi hii. Wengi sana wapo maofisi wanatumia vyeti vya ndugu zao marehemu na serikali yetu ipo tu!
 
tafuteni watu wengine wa kuwasimanga kielimu..........lakini sio Dr. Hussein Mwinyi...........jamaa ana uwezo mkubwa darasani........semeni kingine lakini sio elimu yake.........

Nakuuliza hivi: nikupake matusi nipigwe ban? Acha ugolo kwenye thread za wasomi! Kaa pembeni kama mimi!
 
Weweee! Usimtaje nchimbi VC wa Mzumbe atakusikia? Kiukweli nchimbi ni kiazi.

Ni sahihi ulilosema. Nilialikwa kuhudhuria high-level meeting ambayo jamaa akiwa NW Ulinzi alikuja ziarani nchi za watu. Ilikuwa ni aibu sana. Aliuliza maswali ya kitoto, maswali ambayo nchi iliyo na majeshi yake ughaibuni tayari ilipaswa kujua. Brief ilifanywa kwa powerpoint na walikuwa tayari wameandika maswali kwenye notebook. Mwishowe maswali yote ya kitoto yakawa nje kabisa ya presentation. Waliopojibiwa, "we cant answer that", kwa mshangao vicheko kutoka kwa ujumbe wa kibongo.

It was a shame!!!
 
Inaonekana kabisa huyu jamaa ana vyeti vya kughushi.Waliosoma azania huo mwaka watusaidie alisoma Kidato cha ngapi? haiwezekani elimu ya sekondari (O- leve) asome miaka miwili.au QTE ilikuwepo?
 
Wanaohoji cv ya Dr. Mwinyi wao watuwekee cv zao tuine wana hadhi ya kuhoji cv, au wao ndio vilaza wa kwanza.
 
Tuwekeeni na cv ya mwenyekiti Mbowe, nasikia alitunukiwa shahada ya u dj na Dj Seydou!
 
Back
Top Bottom