Boy oh boy- Sawa sawa mkuu, balanced na imetulia sana!, labda tuseme mapungufu yake kiuongozi lakini siamini kwamba elimu yake ina utata hata kidogo!
William.
2sicomment ki2 ambacho huna uhakika nacho,lazma yeye mwnyewe akiri km ni CV yake,c o 2nacomment tu busara inahitajika!
Inawezekana kama aliingia Azania akitokea nje ya nchi. Kwa kumbukumbu zangu baba yake aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko Cairo Misri. Na ktk kipindi hicho watoto wengi wa watumishi wa balozi zetu walirudishwa Tanzania ktk kubana matumizi ya serikali. Wengi walirushwa madarasa.Kwenye RED Dr. Mwinyi kasoma O level kwa miaka miwili tu inatia shaka sana kweli alikuwa genius huyu jamaa au mbwembwe zake za kubebwa na Baba yake.
-Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982 /SECONDARY jamani kuna ukweli kwenye hili au?
EDUCATIONSNasikia ali 'disco' Muhimbili (enzi zile ikiwa chini ya UDSM) na ndiposa akakimbilia uturuki. Inaonesha wakati alikuwa anasoma Masters (sijui alikuwa anasoma MRCP???), wakati huo alikuwa anasoma PhD na wakati huo huo alikuwa ameajiriwa kama registrar hapo Muhimbili!!!
Wengine wanadai hakufanya internship Tanzania, kitu ambacho ni lazima kwa daktari, mfamasia au nesi yeyote aliyesoma nje ya Tanzania kwamba ni lazima afanye internship hapa kwetu, chini ya uangalizi wa wataalamu wa kitanzania. Wengine wanadai alifanya Internship Muhimbili, lakini hakumaliza.
Wasomi wa kitanzania bwana, utata mtupu!!!
I am afraid kwa sasa tumepata hii version, kama iko nyingine inayomuonesha kuwa competent zaidi ni vema ikawekwa hapa vinginevyo profile ya mtu ndiyo hivyo inaingia mchanga.
Makame, hamna mtu aliyechakachua hii CV, hapa imecopiwa kama ilivyo kwenye tovuti ya Bunge, ndo maana nikasema kwamba yafaa Mh mwenyewe aje jamvini aipambanue!Hivi hii tabia ya kulipana fadhila kwenye haka kanchi kataisha lini.Hawa washauri wa baba Riz1 wanamshauri nini wakisikia mtu anaitwa dokta tu wao wanakurupuka kumpatia nafasi kwa elimu ya kuungaunga tu.
Nasikia ali 'disco' Muhimbili (enzi zile ikiwa chini ya UDSM) na ndiposa akakimbilia uturuki. Inaonesha wakati alikuwa anasoma Masters (sijui alikuwa anasoma MRCP???), wakati huo alikuwa anasoma PhD na wakati huo huo alikuwa ameajiriwa kama registrar hapo Muhimbili!!!
Wengine wanadai hakufanya internship Tanzania, kitu ambacho ni lazima kwa daktari, mfamasia au nesi yeyote aliyesoma nje ya Tanzania kwamba ni lazima afanye internship hapa kwetu, chini ya uangalizi wa wataalamu wa kitanzania. Wengine wanadai alifanya Internship Muhimbili, lakini hakumaliza.
Wasomi wa kitanzania bwana, utata mtupu!!!
MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA DKT MWINYI AMESOMA COMPETENTLY NA NI QUALIFIED PHYSICIAN. Ama kuhusu hii CV sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni Mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu
Acheni mchecheto nyie. Kama hiyo CV imetolewa kwenye website ya Bunge, basi ni wazi hizo ni tarehe tu zitakuwa zimekosewa na Data Entry Clerk au Webmaster sababu ya njaa zake, unless kama kuna mtu yoyote mwenye ushahidi zaidi ya hizo tarehe. Tushazoea kila mara watu wanakuja na maada kama hizi kudadisi CV za Wanasiasa kutokana na tarehe zisizoendana kama zinavyoonekana kwenye tovuti ya Bunge.[/QUOTE
Kuna haja ya wabunge kupita kwenye tovuto na kupitia cv zao kama hawaridhiki na kilichoandikwa yafanyike marekebisho kulikoni kuendelea kusomeka makosa kama kweli zimekosewa
Kwanini unasema iko balanced, kawa mhadhiri wapi Kariuki? Au kwakuwa CV ni kama ile?- Sawa sawa mkuu, balanced na imetulia sana!, labda tuseme mapungufu yake kiuongozi lakini siamini kwamba elimu yake ina utata hata kidogo!
William.
Hata W.J Malecela ni Dr wa meliWatoto wa wakubwa husoma kikubwa hata Januari Makamba na Emanuel Nchimbi wana so kama hizi