Mundali
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 749
- 164
Upande mwingine wa wasifu wa mama Anna Makinda, amekuwa body member wa mashirika na makampuni 7 tofauti kwa kipindi cha kati ya miaka 6 mpaka 7. Na mbaya zaidi ndiyo makampuni yaliyouzwa kutokana na ufanisi wake kuporomoka. Kwa maana nyepesi alichangia katika kuboroka kwa makampuni hayo na hivyo kusaidia kudhoofisha uchumi.