CV Writing Guideline

Titus

Titus

Member
Jul 28, 2007
80
70
mkuu nashukuru kwa huo mwongozo, najua hukupata muda wa kufanya ile ya kwang but i'll try to make use of the pages u've recommended.
hongera kwa juhudi yako mkubwa
 
Maxence Melo

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
3,714
2,000
mkuu nashukuru kwa huo mwongozo, najua hukupata muda wa kufanya ile ya kwang but i'll try to make use of the pages u've recommended.
hongera kwa juhudi yako mkubwa

The issue is not only writing a good CV...
 
K

Kacharimbe

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
203
195
safi. Ingawa ninavyofahamu mimi uandishi wa cv kwa kazi za bongo ni tofauti na kazi za wenzetu huko nje. Ukiandika cv za kiulaya, bongo itatupwa kapuni
 
M

MWENDAKULIMA

JF-Expert Member
Jul 17, 2009
953
195
safi. Ingawa ninavyofahamu mimi uandishi wa cv kwa kazi za bongo ni tofauti na kazi za wenzetu huko nje. Ukiandika cv za kiulaya, bongo itatupwa kapuni
Si kweli,BTW umeshawahi kufundishwa chuoni au popote jinsi ya kuandika CV kwa hiyo format ya kazi za Bongo?If not acha watu wapate maujuzi JF period!
 
Pezzonovante

Pezzonovante

JF-Expert Member
May 1, 2008
642
0
Peleka vyuo vikuu vya tanzania ambako watu wanakaa miaka nne kujifunza kuandika cv
 
Top Bottom