CV/Resume?

Status
Not open for further replies.

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
wanabodi kuna tofauti yoyote kati ya Curriculum Vitae(CV) na Resume?
.....na mtu anapoomba kazi anaandika ipi kati ya hizo?

Hakuna tofauti Yoyo, CV (Curriculum Vitae) imetoholewa moja kwa moja kutoka Kilatini, Wamerekani wamejitahidi kuleta kwenye Kiingereza ndo wamekuja na Resume; kuitofautisha na resume ya kawaida wao wanaitamka hiyo CV 'rishum' na kimaandishi kuna alama ya - juu ya herufi 'e'.

Kwa hiyo ndugu yangu usibabaike hicho ni kitu kilekile.
 
In short, resume ni summary ya CV (iliyoandaliwa kwa mahitaji maalum).
 
Kwa kuongezea tu. Resume is a summary of CV usually 1 - 2 pages maximum, while a Curriculum Vitae (CV) is a detailed one and it can have say 5, 7, etc pages. Normally, job adverts tend to indicate whether they require a CV or Resume. So if asked to submit a resume just come-up with one or two pages though other companies are more strict for instance will say submit a one page resume. Otherwise present your detailed CV. Nevertheless, presenting a very long CV is not advisable.
 
thanks buddy.....cool mods I guess you can close this thread problem solved.Cheers.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom