Cute! Lazima uone mapenzi ya paka mdogo na mbwa kubwa

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145
Ahh jamani mimi napenda paka saaana maana wana macho ya innocent na vitendo vyao vinapendeza mno!!! Angalia gif hizo za paka mdogo wanaocheza na mbwa kubwa.

0

-Wache nipitie!
-Ahh, aa, jamani huyu..

Ukubwa wao kuna tofauti sana, unaona ni cute pia?

0

-Wewe! Inuka cheza nami wee~
-Hapana, si unajua mi nacheza tu na wakubwa.

Samoyedi huyu anaonekana kama kaka yake wenye kukaa kimyakimya~

0

-Macho yangu... Bwana wangu yuko wapi niokoe...

0

-Nakupenda! Niko wazimu kwa wewe! Nakupenda! Nakupenda...
-???????

0

-Napenda hapa mahali pazuri pa kukaa~
-Nimezoea kukanyagwa kila siku.

0

-Mpenzi wangu naomba ninunulie gari moja
-Sawa bebi yangu
-Hooyee!

0

-(lamba..lamba..)
-Nona sasa amenifanyie kama ice krimu...

0

-Mbona umerudi chelewa? ngoja nicheki kwanza...
……
-Sasa haya manukato ya msichana mwingine ni ya nani???

0

-Nini??? Hapana hapana.. unajua mi sithubutu kufanya hivo...

0
0
0

-Kaka yangu.. muscle yako yanavutia kweli! Ache nikufanyie masaji..
-Fanya haraka ili mke wangu asije akaona...

0
0

Mfalme mtukufu na mpenzi wake!!


Ukitaka picha nyingi nyingine kuhusu wanyama wanaopendeza unaweza kwenda tovuti ya 16Lao ukazipate kwenye sehemu ya chini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom