cut of point msaada plz

A = 5; B = 4; C = 3; D = 2; E = 1; S = 0.5; F = 0.
Mfano, mtu akipata ABC (Div I: 6) atakuwa na cut-off points 12.
 
Nope wanahesabu masomo yako 3 ambayo ndio yalikua main subjects
 
A = 5; B = 4; C = 3; D = 2; E = 1; S = 0.5; F = 0.
Mfano, mtu akipata ABC (Div I: 6) atakuwa na cut-off points 12.

Mtu akipata ABC atakuwa na POINTS 12 za CHUO. Hizo POINTs 12 zaweza kikawa ziko ABOVE or BELOW the CUT-OFF POINT for the degree programme inayoombwa. Maana yake in kwamba ikiwa points 12 alizonazo rafiki yetu ziko juu ya CUT-OFF point ya degree programme fulani basi chance ya rafiki yetu huyo kuchaguliwa kwa ajili ya programme hiyo ni kubwa. Kinyume chake, ikiwa points zake ziko chini ya CUT-OFF point basi chance ya kuchaguliwa kwenye hiyo particular DEGREE Programme itakuwa ni ndogo.

N.B> Cut-off point ya mwaka mmoja for any particular programme yaweza itofautiane na ya mwaka mwengine, inategemea idadi ya applicants na viwango vyao vya ufaulu - kwa mwaka wenye majanga kwenye NECTA - ACSEE, cut-off points bila shaka zitakuwa chini (ndogo).
 
Je kwa cc 2lomaliza diploma 2meambiwa gpa ya mwnzo ni 2.7. je km untaka kuapply chuo km mzumbe uwe na gpa ngapi.
 
Back
Top Bottom