Custom Mtukula muache wizi ni upumbavu wa zamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,582
Habarini za saizi
Jana kuna jambo limetokea basi ya friends ikitokea MWANZA KWENDA UGANDA

ILIPOFIKA MTUKULA WAKAFWATA TARATIBU ZOTE...SIJAJUA KWANINI WAKO TOFAUTI NA BUSIA...ATUKUJUA KAMA PAX WANACHOFANYA

ILA TUMEFIKA BUSIGA PAX WAWIILI WANALALAMIKA WAMECHANIWA MABEGI YAO...KUANGALIA NDANI KUNA NGUO AZIPO....

MIMI NILIKUWA MHANGA WA TUKIO LAKINI NILIJUA HILO TUMEFIKA KITUONI NAMIABA

KUANGALIA BEGI KHE LAKWANZA LIKO SAWA LA PILI NAONA WAMECHANA KUANGALIA NDANI NDIPO NIKAONA N NYOKO NA WANANJAA HIVI UNAWEZAJE KUCHUKUA HOTPOT ZAKUWEKEA CHAKULA NA NI USED NIMETOKA TUMIA MWANZA TULIKUWA SEMINA...NKABAKI NACHEKA

PEMBENI GAFLA MAMA MMOJA KALIANZISHA ANATAKA KUMWONA MANAGER WA FRIENDS..MIZIGO YAKE IMECHANWA VITU HAVIPO

NAHISI CUSTM MUWENA UTARATIBU MNAPOCHANA THEN AMRUDISHI VITU MLIVYOVIKUTA N WIZI NA UTAPELI...NAWASHAURI ABIRIA MUWE MACHO NA MTUKULA..NIMEWAOGOPA SANA
 
Hayo mambo ya kawaida airport, wakikosa kuchana,utaona usalama wana kuhangaisha ili uwape hela tu.




Ndukiiiii
 
Sidhani kama ni custom, maan mie nijuavyo kwa experience ndogo na huo mpaka wanakagua na kama kuna mzigo wanautilia masha, condactor huambiwa kuita mwenye mzigo afungue wakague,
ila nijuavyo kuna vishoka hapo friends na kama haupo sawa unaweza poteza mzigo na wao kutaa na kusema ni custom office ndo wamefanya hivyo, na hasa huko njiani kabla hawajafika stand kwao/ wanaposhusha watu wa njiani
 
Back
Top Bottom