custom log in welcome (karibishwa ni kompyuta yako unavyotaka) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

custom log in welcome (karibishwa ni kompyuta yako unavyotaka)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by leh, Jul 6, 2012.

 1. leh

  leh JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mkuu MziziMkavu alileta maada ya Computer yako ni ya Kike au ni ya Kiume, na akanikumbushia siku za zamani kidogo nilivyokuwa nasoma vbs scripts na tts (text to speech) coz ya rafiki wangu bubu. anyway, to cut a long story short, kompyuta zote zinazotumia win7 zinatumia sauti ya dada mmoja Anna, kama unaskia sauti ya kiume au hata shemale hahaha kama ndugu yangu Mbimbinho check speaker zako na sound card yako :biggrin:. kama bado upo siku za win xp, kuna uwezekano una sauti ya Mary, Mike na Sam (default ilikuwa Sam). nafikiri bill gates anapenda warembo.. hahahahah :biggrin:


  :focus:
  anyway, kuendelea na topic, unaweza ukatumia vbs kama MziziMkavu alivotuonyesha kufanya ur pc isome txt. kusogesa hii trick zaidi, unaweza tumia haya maneno kama welcome sound kwenye pc yako, mfano ya kwangu husema "welcome back to your workstation leh"

  kwanza tutengeneze .vbs yetu kwa kutumia notepad
  fungua new notepad, copy and paste haya maneno

  Dim speaks, speech
  speaks="welcome back to your computer leh"
  Set Speech=CreateObject ("sapi.spvoice")
  speech.Speak speaks

  badilisha maneno niliyoweka in red into chochote unachotaka, na kwa uzuri zaidi usizidishe maneno matano.
  save text file yako na extension ya .vbs (unapo save, save for example welcome.vbs)
  [​IMG]

  nenda ulipo save hiyo file na click copy (copy the vbs file)
  [​IMG]

  baada ya hapo unahitaji kuiweka into system folder ili ipatikane ni windows
  to do this nenda, kwenye startup>all programs>startup. expand startup, and paste hapo ndani ya folder
  [​IMG]

  log out then in kutest your personalised welcome sound  kuboresha zaidi, mie huona ni bora kuzima welcome sound windows iliyoweka (sound depends on the theme currently used) kwasababu zitaingiliana. kufanya hivi, nenda kwa desktop, right click>personalise>sounds>windows logon uchague (none)> apply

  [​IMG]

  nitashukuru kwa feedback wakubwa
  regards, ** leh
   
 2. leh

  leh JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kuna more advanced settings zinazotumika, yaani parameters (watumiaji wa cmd wataelewa ninavyosema)
  mfano,..
  with speech
  Set .voice = .getvoices.item(0)
  .Volume = 100
  .Rate = 0
  end with


  kuna zingine nafahamu kama

  .Pause = pause speaking


  .resume = resume after pause


  .Rate = speed of spoken words. The larger number, the faster pitch. kiswahili kinanichenga kueleza


  .Voice = kama una xp (una sauti ya zaidi ya moja, unaweza chagua moja)


  .Volume = Kuset ukubwa au udogo wa zaidi (example hapo juu)


  unaweza fanya majaribio ukaweza kupata kitu kizuri
   
 3. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  nadhani kuna error kidogo hapo labda ya spacing maana ukiCopy moja kwa moja kwenye notepad inashindwa kuReplay, labda ingekuwa hivi

  CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"welcome back to your workstation leh"

  maelezo mengine ni sawa kama ulivyoonyesha... nice work
   
 4. leh

  leh JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  nimeiona lakini nikijaribu kuedit inaonyesha kwamba haina space. hebu ni idelete yote niandike upya
   
 5. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  ok nimeshagundua error ipo wapi, ni hapo inaposema S peak!! hiyo nafasi inabidi isiwepo katikati ya ''S na p''

  [​IMG]
   
 6. leh

  leh JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  yeah yeah, nilikuwa naiona lakini nikijaribu ku edit inaonyesha space haipo. nimeiandika upya, nilidhani if somebody copies it it, itakuwa space haipo. thank u Brakelyn
  btw, imekubali?? umelog on ikakukaribisha? jaribu kupandisha rate yake, mi huona anna anavuta mno maneno
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  nimejaribu inakubali vizuri tu, je system folder la logoff ntalipata wapi? nataka kubadilisha na logoff sound..
   
 8. leh

  leh JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sijawai fikiria kuhusu la logoff. naenda kulitafuta nitakujulisha baadaye
   
 9. c

  chipalila1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu naomba software ya hyo k2 na mm n enjoy
   
Loading...